For JamiiForums Mobile users

Naomba mnielekeze namna ya kuset jamii forum app ili niwe napata notification zake kwa forum nilizojiunga,kwasasa nazipata kwenye email yangu.
 
Unsubscribe tu kwenye email yako.
Then kwenye settings ya JF app zama notification then enable tu

Back
Top Bottom