Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
[/Green]
kama hiviLabda kama ni Uvivu... Hebu Jaribu Kureply hapa uone zilivyokaa
Weweee?Mimi
nielekez mzee baba1.Mbona mimi inakubali2.
Andika hivi;Yaani hata sielewi[/color]
Asante MkuuAndika hivi;
[ COLOR=red ]nyumbani[ /color ].
Hakikisha huachi nafasi kwenye hayo mabano na maneno kuanzia na bano [ na herufi C na lile ] kati yake na herufi d mwisho.
Pia bano [ libanane na Alama /.Na bano ] libanane na r mwisho.
Mimi nimeàcha nafasi ili uweze kuona.
Hapo kwenye neno red uñaweza andika rangi yoyote unayotaka iwe.
Neno nyumbani limekaa kama mbadala wa neno lolote unalotaka liwe na rangi.
Asante!!
Eehh buana nimeweza Shukrani Sana mkuu, maelezo yako yanajitosheleza THANKS A LOTAsante Mkuu
Hahahaaa!!.Naona umetiririka tu.Asante Mkuu
Pamoja sana mkuu na asante kwa kuwa na kichwa chepesi kuelewa pale unapoeleweshwa vyema.Eehh buana nimeweza Shukrani Sana mkuu, maelezo yako yanajitosheleza THANKS A LOT
Hahahaaa!!.Naona umetiririka tu.
Ningeshangaa sana iwapo na kwa maelezo hayo ungeshindwa!.
Ila halibadiliki mbona?Andika hivi;