For JamiiForums Mobile users

Ombi: Nani aneweza kunielekeza jinsi ya kupost picha niliyoisave kwenye simu, maana kupitia attachment inagoma.
mkuu kama unatumia browser ya operamin ni rahisi fanya kama mimi utaona vitufe vitatu yaani post reply, attach files, na preview utagengesha attach file na hapo utaweza kuona mafaili yaliyoko kwenye simu yako!
 
111 Reactions
Reply
Back
Top Bottom