For JamiiForums Mobile users

Wapenzi watumiaji wa JF, salaam.

Nakuja kwenu kuomba msaada kuandika maneno kwenye JF afu maandishi yawe either BOLD, ITALIC, COLOURED, ku upload link, kutag member au ku mention.
Nimejaribu kwa kila namna nimeshindwa.

Msaada please!
 
111 Reactions
Reply
Back
Top Bottom