FOR GREAT THINKERS: Is Africa still a dark continent or a crucial partner in sustaining a better world?

Uongo. Technology ina ku fool usione uhalisia wa maisha. Ww unaeza usimuige mzungu kwenye technology. Ila unaweza kutumia resoeurce ulizo nazo na kuzifanya kua value. Mzungu anabaki na technology ww unabaki na resource.
Cha msingi cha kupambana nacho labda unambie technology katika security ya bara la afrika. Kuunda jeshi lenye vifaa vya kutosha.
Ninakuelewa sana mzazi. Umetisha.
 
Back
Top Bottom