Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal 2 inakuajiri.and how about loans(inalipa).JAMAN SAMAHANI NAOMBA MUNISAIDIE KAMA UNAJUA CHOCHOTE ABOUT (BA IN ECONOMICS)