Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,881
- 941
Jamani nilikuwa naomba wapenzi wa michezo hiyo miwili wanisaidie katika hili, ni mchezo gani wenye kusisimua zaidi kati ya soccer na American football. Mimi binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa soccer kipindi cha nyuma, lakini tangu nianze kuufuatilia American football ampenzi yangu kwenye soccer yameondoka kabisa.