King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,573
- 1,344
Vipi betting ni hasara au faida?
Yupo mtu anayeweza tengeneza steady flow ya income kwenye football betting pekee?
Yaan siyo kuwin huge amount au jackpot bali kutengeneza steady flow income Na hasa ukichagua kampuni nzuri.
Siyo betting nyingine tofauti na football betting mfano betting nyingine ni lotto, keno, roulettes or spinning na zinazofanana na hizi izo ni kamari.
Developing countries hawajui betting hasa ya football bali huko mbele watu wanategemea football betting kama kazi ila hapa bongo bado badoo na mechi zipo.
Unadhani kwenye soka, betting siyo fursa kwa unaye betting kwenye kampuni?
Ebu tujiulize maswali afu tuone tunapata vipi fast income maana maisha siyo yaani.
Imagine unatafuta sh mil3.6 kwa mwaka wakati yupo anayestake sh.3.6Milioni na akapata kwa siku.
Mtu anaeka dola 5000 anapata dola 10000 yaani odd mbili.
Ndugu zangu maisha ni mepesi kama ukijitoa ufahamu mbona watu wa forex wanamenywa kama kawa na bado wanakuja kusema forex is not for every one 😂😂😂😂😂 aseee yaani mi yale magraph ya forex siyaelewagi na sijawahi yaelewa naambiwa weka dola 200$ upate 100$ kila wiki aseee. Wenyewe wanajiita forex guru 😊😊😊😊 ukiwaambia football betting wanasema kamari duuuh