Football betting ligi zinaanza wadau mpo tuweke mikeka

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,576
2,000
Vipi betting ni hasara au faida?

Yupo mtu anayeweza tengeneza steady flow ya income kwenye football betting pekee?
Yaan siyo kuwin huge amount au jackpot bali kutengeneza steady flow income Na hasa ukichagua kampuni nzuri.

Siyo betting nyingine tofauti na football betting mfano betting nyingine ni lotto, keno, roulettes or spinning na zinazofanana na hizi izo ni kamari.

Developing countries hawajui betting hasa ya football bali huko mbele watu wanategemea football betting kama kazi ila hapa bongo bado badoo na mechi zipo.
Unadhani kwenye soka, betting siyo fursa kwa unaye betting kwenye kampuni?

Ebu tujiulize maswali afu tuone tunapata vipi fast income maana maisha siyo yaani.
Imagine unatafuta sh mil3.6 kwa mwaka wakati yupo anayestake sh.3.6Milioni na akapata kwa siku.

Mtu anaeka dola 5000 anapata dola 10000 yaani odd mbili.

Ndugu zangu maisha ni mepesi kama ukijitoa ufahamu mbona watu wa forex wanamenywa kama kawa na bado wanakuja kusema forex is not for every one πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aseee yaani mi yale magraph ya forex siyaelewagi na sijawahi yaelewa naambiwa weka dola 200$ upate 100$ kila wiki aseee. Wenyewe wanajiita forex guru 😊😊😊😊 ukiwaambia football betting wanasema kamari duuuh
 
RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
425
500
Yah mkuu iki ni chanzo kizuri cha pesa mi niliwahi kuweka 4500$ nikapiga 115,000$ kwa odd 23

ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,155
2,000
Nilianza na 7000,hadi jana nina 350000 kwa live betting... inahitaji muda... wa kutosha kufuatilia mechi na presha ya moyo huwa juujuu.
Hapa nasubiri ifike saa nane nianze kubet live.... nile kadhaa niendelee na mambo mengine.
 
ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,155
2,000
Tupe maujanja sasa nasie tutuliage home.
Kua na muda wa kutosha,wakufuatilia mechi,anza na live betting... hata ukianza na pesa ndogo,ukiwa serious,utakuta unafikisha hata milioni.. na ndiyo unaanza kubet kwenye hizo mechi ambazo bado hazijaanza kuchezwa.
 
Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,444
2,000
Ulitumia muda gani mkuu kufikisha hiyo?
Nilianza na 7000,hadi jana nina 350000 kwa live betting... inahitaji muda... wa kutosha kufuatilia mechi na presha ya moyo huwa juujuu.
Hapa nasubiri ifike saa nane nianze kubet live.... nile kadhaa niendelee na mambo mengine.
 
ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,155
2,000
Ulitumia muda gani mkuu kufikisha hiyo?
Nilianza juzi usiku,nikabet hadi saa nne na robo usiku siku hiyouiyo,nikiwa nadili na FIRST HALF kwenye both teams to win naandika NO,hadi nikawa na mtaji wa laki... jana nikaanza saa 7 hadi saa 3 usiku,hivi nimemaliza inshu zangu,nataka nianze muda huu.
 
msondomba

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,478
2,000
Both team to win au both team to score mkuu ulimaanisha apo
Nilianza juzi usiku,nikabet hadi saa nne na robo usiku siku hiyouiyo,nikiwa nadili na FIRST HALF kwenye both teams to win naandika NO,hadi nikawa na mtaji wa laki... jana nikaanza saa 7 hadi saa 3 usiku,hivi nimemaliza inshu zangu,nataka nianze muda huu.
 
King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,576
2,000
Nilianza juzi usiku,nikabet hadi saa nne na robo usiku siku hiyouiyo,nikiwa nadili na FIRST HALF kwenye both teams to win naandika NO,hadi nikawa na mtaji wa laki... jana nikaanza saa 7 hadi saa 3 usiku,hivi nimemaliza inshu zangu,nataka nianze muda huu.
Hapo napo patamu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom