Food For thought: Kwanini Watu Sasa wanazikwa Usiku, tena na vyombo vya Serikali?

Nimeuliza swali lakini nia yangu ni kutoa Wito kwamba tuchukue hatua Sasa kujiokoa tumwache Rais Magufuli Akae Kwao Chato, nadhani kwake familia na Mama Mzazi wake wakati huu ni muhimu kuliko nchi...Ndugu, tuamke tunakwisha

Haya ni Makaburi ya Ununio Dar es Salaam, mmoja wa waliozikwa juzi Usiku ni Bernard Ngoyai Lowassa, sina Hakika kama ni Mwanafamilia wa Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa
View attachment 1434665
Mi naomba tu kuuliza,hasa wewe uliyeleta hii habari kwamba,kabla ya Corona watu hawakua wakifa kila siku na makaburi kama haya uliyoweka hapa? lakini pia nithibitishie kua watu wanakufa wengi na kuzikwa usiku maana tuna ndugu mikoa karibu yote nchini,tuna marafiki,tuna watumishi au wafanya biashara wenzetu marafiki,tuna ndugu wauguzi,kati ya hawa wote tukiwauliza hawajawahi kuona,wewe mwenyewe uliyeleta hii habari yamkini kabisa hujawahi luona,wala huna ndugu aliyeondoka,ni kweli kuna ugonjwa na ni mbaya lakini hii hofu mnaowatia watu hasa watu waoga ni ya nini?kuna namna ambayo nimegundua mimi binafsi kua jambo hili mnaweka na uongo mwingi sana na sijui ni kwa nini,sisi waTanzania nijuacho hua tunabeba maneno kutoka kijiwe kimoja kwenda kingine bila kua na uhakika,watu wawili kama wewe wapo mkoa fulani katika mazungumzo wanasema hali ni mbaya tuombe MUNGU atunusulu maana watu wanakufa usiku na kuzikwa kimya kimya,watu hawa nilipochat nao kwa muda nikawauliza kama waliona,majibu yao wanasema wameambiwa na jamaa wa karibu.

Jamani acheni kelele,acheni Serikali ifanye kazi zake,acheni yale yote yanayozuiliwa na Wizara kwa maana ya kutokua wasafi,ombeni MUNGU na sote tutashinda na kupita jaribu hili,uongo na kutisha wafu haisaidii..maana tungekua tunaona tu watu wanaanguka barabarani sasa kama ni hivyo,lakini watu mnaongea na hamjaona,sisi wenyewe tupo hapa hapa nchini tena mjini hatuoni.punguzeni mboyoyo haziwasaidii,kumbukeni kabla ya Corona watu wengi tu wamepoteza maisha duniani kote kila siku iendayo mahosipitalini na majumbani,sasa hayo hamuangalii isipokua Corona tu na kutisha watu....lakini pia nilikua sijaangalia vizuri profile picture yako.nimekuelewa mkuu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Jamani acheni kelele,acheni Serikali ifanye kazi zake,acheni yale yote yanayozuiliwa na Wizara kwa maana ya kutokua wasafi,ombeni MUNGU na sote tutashinda na kupita jaribu hili,uongo na kutisha wafu haisaidii..maana tungekua tunaona tu watu wanaanguka barabarani sasa kama ni hivyo,lakini watu mnaongea na hamjaona,sisi wenyewe tupo hapa hapa nchini tena mjini hatuoni.punguzeni mboyoyo haziwasaidii,kumbukeni kabla ya Corona watu wengi tu wamepoteza maisha duniani kote kila siku iendayo mahosipitalini na majumbani,sasa hayo hamuangalii isipokua Corona tu na kutisha watu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
You are very wrong broh, au umekula kiapo cha kuwa tomaso hadi uone kwa macho, time is everything, people are dying

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuliza swali lakini nia yangu ni kutoa Wito kwamba tuchukue hatua Sasa kujiokoa tumwache Rais Magufuli Akae Kwao Chato, nadhani kwake familia na Mama Mzazi wake wakati huu ni muhimu kuliko nchi...Ndugu, tuamke tunakwisha

Haya ni Makaburi ya Ununio Dar es Salaam, mmoja wa waliozikwa juzi Usiku ni Bernard Ngoyai Lowassa, sina Hakika kama ni Mwanafamilia wa Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa
View attachment 1434665
Huku ni kukuza mambo na kutisha watu.Sasa unataka kutuambia hayo makaburi yote ni C-19.Umetumwa wewe.
 
Nadhani lililo mhimu hapa ni kutafuta njia za kuyaweka wazi hayo yanayofichwa na serikali.

Kuyawekea kumbukumbu sahihi kama ushahidi wa baadae kwa vile sasa haiwezekani kuyaweka bayana watu wayajue.
Hawa watawala hawatakuwepo madarakani milele kuficha madhambi wanayofanya.
Kwa hii picha hata kama unataka kuthibishia umma kama watu walizikwa usiku, inaweza kutumika kama ushahidi?
 
Nimeuliza swali lakini nia yangu ni kutoa Wito kwamba tuchukue hatua Sasa kujiokoa tumwache Rais Magufuli Akae Kwao Chato, nadhani kwake familia na Mama Mzazi wake wakati huu ni muhimu kuliko nchi...Ndugu, tuamke tunakwisha

Haya ni Makaburi ya Ununio Dar es Salaam, mmoja wa waliozikwa juzi Usiku ni Bernard Ngoyai Lowassa, sina Hakika kama ni Mwanafamilia wa Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa
View attachment 1434665
Safi kama wanazikwa kwa heshima zote safi nilifikiri ni kaburi la umoja!
 
Mi naomba tu kuuliza,hasa wewe uliyeleta hii habari kwamba,kabla ya Corona watu hawakua wakifa kila siku na makaburi kama haya uliyoweka hapa? lakini pia nithibitishie kua watu wanakufa wengi na kuzikwa usiku maana tuna ndugu mikoa karibu yote nchini,tuna marafiki,tuna watumishi au wafanya biashara wenzetu marafiki,tuna ndugu wauguzi,kati ya hawa wote tukiwauliza hawajawahi kuona,wewe mwenyewe uliyeleta hii habari yamkini kabisa hujawahi luona,wala huna ndugu aliyeondoka,ni kweli kuna ugonjwa na ni mbaya lakini hii hofu mnaowatia watu hasa watu waoga ni ya nini?kuna namna ambayo nimegundua mimi binafsi kua jambo hili mnaweka na uongo mwingi sana na sijui ni kwa nini,sisi waTanzania nijuacho hua tunabeba maneno kutoka kijiwe kimoja kwenda kingine bila kua na uhakika,watu wawili kama wewe wapo mkoa fulani katika mazungumzo wanasema hali ni mbaya tuombe MUNGU atunusulu maana watu wanakufa usiku na kuzikwa kimya kimya,watu hawa nilipochat nao kwa muda nikawauliza kama waliona,majibu yao wanasema wameambiwa na jamaa wa karibu.

Jamani acheni kelele,acheni Serikali ifanye kazi zake,acheni yale yote yanayozuiliwa na Wizara kwa maana ya kutokua wasafi,ombeni MUNGU na sote tutashinda na kupita jaribu hili,uongo na kutisha wafu haisaidii..maana tungekua tunaona tu watu wanaanguka barabarani sasa kama ni hivyo,lakini watu mnaongea na hamjaona,sisi wenyewe tupo hapa hapa nchini tena mjini hatuoni.punguzeni mboyoyo haziwasaidii,kumbukeni kabla ya Corona watu wengi tu wamepoteza maisha duniani kote kila siku iendayo mahosipitalini na majumbani,sasa hayo hamuangalii isipokua Corona tu na kutisha watu....lakini pia nilikua sijaangalia vizuri profile picture yako.nimekuelewa mkuu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hauna information man...tafuta information man.. one love.
Jah Rastafaray.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma tu hapo chini Neno rasta nimejua bange hiyo, bange mbaya kwa hiyo wewe ndiye muoga fara we.

Acheni kuvuta kuna Corona vinapoungana shida inaanza.
Mi naomba tu kuuliza,hasa wewe uliyeleta hii habari kwamba,kabla ya Corona watu hawakua wakifa kila siku na makaburi kama haya uliyoweka hapa? lakini pia nithibitishie kua watu wanakufa wengi na kuzikwa usiku maana tuna ndugu mikoa karibu yote nchini,tuna marafiki,tuna watumishi au wafanya biashara wenzetu marafiki,tuna ndugu wauguzi,kati ya hawa wote tukiwauliza hawajawahi kuona,wewe mwenyewe uliyeleta hii habari yamkini kabisa hujawahi luona,wala huna ndugu aliyeondoka,ni kweli kuna ugonjwa na ni mbaya lakini hii hofu mnaowatia watu hasa watu waoga ni ya nini?kuna namna ambayo nimegundua mimi binafsi kua jambo hili mnaweka na uongo mwingi sana na sijui ni kwa nini,sisi waTanzania nijuacho hua tunabeba maneno kutoka kijiwe kimoja kwenda kingine bila kua na uhakika,watu wawili kama wewe wapo mkoa fulani katika mazungumzo wanasema hali ni mbaya tuombe MUNGU atunusulu maana watu wanakufa usiku na kuzikwa kimya kimya,watu hawa nilipochat nao kwa muda nikawauliza kama waliona,majibu yao wanasema wameambiwa na jamaa wa karibu.

Jamani acheni kelele,acheni Serikali ifanye kazi zake,acheni yale yote yanayozuiliwa na Wizara kwa maana ya kutokua wasafi,ombeni MUNGU na sote tutashinda na kupita jaribu hili,uongo na kutisha wafu haisaidii..maana tungekua tunaona tu watu wanaanguka barabarani sasa kama ni hivyo,lakini watu mnaongea na hamjaona,sisi wenyewe tupo hapa hapa nchini tena mjini hatuoni.punguzeni mboyoyo haziwasaidii,kumbukeni kabla ya Corona watu wengi tu wamepoteza maisha duniani kote kila siku iendayo mahosipitalini na majumbani,sasa hayo hamuangalii isipokua Corona tu na kutisha watu....lakini pia nilikua sijaangalia vizuri profile picture yako.nimekuelewa mkuu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuliza swali lakini nia yangu ni kutoa Wito kwamba tuchukue hatua Sasa kujiokoa tumwache Rais Magufuli Akae Kwao Chato, nadhani kwake familia na Mama Mzazi wake wakati huu ni muhimu kuliko nchi...Ndugu, tuamke tunakwisha

Haya ni Makaburi ya Ununio Dar es Salaam, mmoja wa waliozikwa juzi Usiku ni Bernard Ngoyai Lowassa, sina Hakika kama ni Mwanafamilia wa Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa
View attachment 1434665
Acha uongo. Benard Lowasa kazikwa na Familiar yake. Acheni kutuletea taharuki isiyo ya lazima Nchini.
IMG-20200429-WA0141.jpg
 
Back
Top Bottom