Uchaguzi 2020 Fomu za kugombea urais kupitia CHADEMA, zaanza kutolewa. Wanachama wahimizwa kuchukua fomu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on twitter

1594047675133.png
1594047685999.png
 
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on twitter
Barua waliziandika wanaotaka kugombea uraisi zilikuwa za Nini? Mbona mna usumbufu nyie Chadema mara ohh anayetaka kugombea uraisi aandike barua utafikiri anachumbia watu wakaandika akiwemo Lisu Mara ohh fomu za mtaka kugombea zinaanza kutolewa Leo!! Mbona hamueleweki mna wazimu au? Zile barua kazi yake ilikuwa Nini?

Lichama haliko organized hovyo kabisa
 
Chadema mtaacha lini maigizo
Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!

Chadema kuna tatizo
 
Labda zimefutwa ili kumpa nafasi membe

Tangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni

1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini

Lisu njoo na dereva wako utuambie kwa nini Tanzania haijashitakiwa MIGA?
 
Kumbe kina Msigwa na Lissu walianza “kutangaza nia” kwa hotuba nzitonzito kabla ya kuchukua form?
 
Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!

Chadema kuna tatizo
Kwahiyo barua ya kuomba uteuzi(kama kweli walitakiwa kuandika hizo barua) ndio mbadala wa fomu?Ulisoma shule gani wewe?
 
Barua waliziandika wanaotaka kugombea uraisi zilikuwa za Nini? Mbona mna usumbufu nyie Chadema mara ohh anayetaka kugombea uraisi aandike barua utafikiri anachumbia watu wakaandika akiwemo Lisu Mara ohh fomu za mtaka kugombea zinaanza kutolewa Leo!! Mbona hamueleweki mna wazimu au? Zile barua kazi yake ilikuwa Nini?

Lichama haliko organized hovyo kabisa
Fomu za kuomba kuteuliwa na chama ni tofauti na kutangaza nia ya kugombea
 
Kwa hiyo hata ambaye ni nje ya wale waliotia nia awali ni ruksa kuchukua form?

Kulikuwa na maana gani sasa ya kuwataka watu watie nia na deadline juu?
 
Kabisa chadema maigizo kwenda mbele tena ya ze commedy .Tuliona watia Nia wakijanadi kuwa wameandika barua Chadema ya kuomba wawe wagombea uraisi tena kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa Kama BBC nk Leo ohhh mtu anatakiwa achukue fomu ya Ugombea hivi hata BBC wataelewa hiyo ze commedy? Sababu walishachukulia kuwa mtu aliandika barua ya Kuomba uteuzi kinachofuata Ni majibu ya barua yake!!! Barua haijajibiwa chadema wanasema kachukueni fomu wote mnaotaka kugombea!!!

Chadema kuna tatizo
Mbona ccm walitangaza uchaguzi huru, Lakini tayari wana mgombea wao?
 
Kumbe kina Msigwa na Lissu walianza “kutangaza nia” kwa hotuba nzitonzito kabla ya kuchukua form?
Chadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interesting
 
Back
Top Bottom