Fomu ya Ubunge imepanda bei CCM Manyara | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fomu ya Ubunge imepanda bei CCM Manyara

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by stemcell, Jul 17, 2015.

 1. s

  stemcell JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 639
  Likes Received: 512
  Trophy Points: 180
  Jana kulikuwa na vurugu ofisi ya CCM babati baada ya Mwenyekiti wa CCM Manyara kupandisha hela ya kulipia fomu ya Ubunge kutoka milioni moja hadi milioni tano.

  Na wagombea walivyo kuja juu akaanza kuongea na mtu kwenye simu na wagombea wakihisi ni Mbunge wa Babati.

  Baada ya muda akashusha hadi milioni 2 ,hii ni kuonyesha rushwa ndani ya chama imetawala namna gani.
   
 2. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #21
  May 2, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,776
  Likes Received: 11,057
  Trophy Points: 280
  Wanafiki waje sasa
   
 3. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #22
  May 2, 2017
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,389
  Likes Received: 1,718
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna uchaguzi wa Mbunge huko Babatimwaka huu?
   
Loading...