Fomu ya Ubunge imepanda bei CCM Manyara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fomu ya Ubunge imepanda bei CCM Manyara

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by stemcell, Jul 17, 2015.

 1. s

  stemcell JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Jana kulikuwa na vurugu ofisi ya CCM babati baada ya Mwenyekiti wa CCM Manyara kupandisha hela ya kulipia fomu ya Ubunge kutoka milioni moja hadi milioni tano.

  Na wagombea walivyo kuja juu akaanza kuongea na mtu kwenye simu na wagombea wakihisi ni Mbunge wa Babati.

  Baada ya muda akashusha hadi milioni 2 ,hii ni kuonyesha rushwa ndani ya chama imetawala namna gani.
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2015
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,582
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Kiwanda cha uongo...
   
 3. s

  stemcell JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Sisi ndiyo tuko huku babati na nina biashara karibu najengo,na likuwa na shuhudi wagombea wa tatu na team yao wakicharuka.
   
 4. mndorwe

  mndorwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2015
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 2,475
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Wapigane tu hakuna jinsi...
   
 5. s

  stemcell JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Moja ndiyo aliniacha hoi waliruka barabara akaenda exim babati akachukuwa hela alivyo rudi roho ikamuuma halafu hakulipa akabaki kutukana.
   
 6. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2015
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,580
  Likes Received: 2,013
  Trophy Points: 280
  CCM kwa kudalalia wananchi tu hamjambo!
   
 7. s

  stemcell JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Tunasoma nyakati hapa,huyu mbunge wa ccm chambiri watu wamemchoka,tunasubiri Ukawa wataleta nani,kiti kiko wazi manyara yote.
   
 8. Fukara

  Fukara JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2015
  Joined: Dec 28, 2013
  Messages: 1,430
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Huu ni uongo wa kiangazi,acha upotoshaji kitu kama hicho hakipo.
   
 9. b

  bato JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 2,410
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Hawa magamba wanaparurana wenyewe kwenye kura za maoni.Nadhani hadi oktoba atakaye toka kwa wananchi Ni makovu matupu. Hakuna bei moja ya fomu kwa majimbo yote? Eti sh 5 mil fomu ya ubunge mikoa ya Manyara na Arusha; hata picha hamwoni
   
 10. ILAN RAMON

  ILAN RAMON JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2015
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 6,576
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  mim naona babati ccm wasimsimamishe mtu maana cdm njia nyeupeeeee ni kama mpambano wa ndama na tembo
   
 11. ILAN RAMON

  ILAN RAMON JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2015
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 6,576
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  pole sana kwa kukatwa
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2015
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,147
  Likes Received: 2,376
  Trophy Points: 280
  Form ya ubunge mil 1?
   
 13. s

  stemcell JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  We unataka kubisha,jana kulikuwa na malumbano ya wana ccm tukawa tunacheka,diwani akafika mohamedi fara akawa anatingisha kichwa tu.
   
 14. s

  stemcell JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  ilipandishwa milioni 5 ikashuka 2 sijui leo ntawajulisha nikifika hapo kama wameshusha niko maisaka naelekea huko.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2015
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,147
  Likes Received: 2,376
  Trophy Points: 280
  Mbona cdm form ya ubunge ni laki 2 na nusu? Iweje kwa ccm bei kubwa kuliko hata ya urais?
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2015
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,105
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tena amekatwa mkato wa maana kwel
   
 17. j

  jeromemudima New Member

  #17
  Jul 17, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wengine wameshindwa kuchukua fomu kwa 7babu gharama ni kubwa.
   
 18. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2015
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,582
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa ni kiwanda cha uongo
   
 19. s

  stemcell JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  nadhani kuna hila fulani,wapambe wa chambiri tulikuwa nao wanacheka,ila fomu ni milioni 1 lakini baadhi walilipa 2 akiwemo jitu patel na chambiri pia,lakini walianza na milioni 5 ilikuwa ni vichekesho ilikuwa kama duka ya mtu fulani anapanga bei.
   
 20. s

  stemcell JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 599
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 80
  Ila ukawa wanachukuwa Babati mjini mgombea anakubalika sana jina ni bwana Kibiki alikuwa anafanya Tanesco.
   
Loading...