#COVID19 Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

Sumu unayo wewe mwilini mwako.
Mbona ARV unazibugia kila siku hadi zimekusababishia kitambi?
Siwezi kunywa ARV mimi,kwa gonjwa hewa.Not me.Lakinii,kubwata bwata hapa hakukusaidii sana,lete taarifa za kitaalamu zitakazowasaidia watu,kama huna nyamaza.
 
Siwezi kunywa ARV mimi,kwa gonjwa hewa.Not me.Lakinii,kubwata bwata hapa hakukusaidii sana,lete taarifa za kitaalamu zitakazowasaidia watu,kama huna nyamaza.
Mkuu nilisahau kukutahadharidha huyo unaye debate naye Thinking capacity yake ipo Very Low. Yeye anawaza ubishi wa CCM na CHADEMA, usishangae akikuita majina kama Lumumba etc. Hawezi kutoa maelezo yoyote yanayotegemea kichwa chake zaidi ya kufata mkumbo tu. Amejaa ushabiki tu Ila ni ZERO brain. Nakushauri fanya kum ignore tu.
 
Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
Pole kwa ujinga! Huko ulaya na marekani wanaoshinikiza hizo biashada za chanjo ndiko kwenye wajane na yatima wengi wahanga wa corona kuliko popote pale! Huku kwetu mnalazimisha mtu akifa kuwa kafa kwa corona wakati siyo!! Pole tena kwa ujinga! Wanaotuletea chanjo hazikuwasaidia wao, wamezika sana na wanaendelea kuzika! Hazikuwaokoa wao, zitakuokoaje wewe? Pole tena kwa ujinga!
 
Bax
Hili la kuweka saini fomu ya kuchanjwa mbona ni la kawaida na ni sawa na fomu niliyosaini wakati nafanyiwa operation. Kama hutaki kuchanjwa ACHA!
Basi waseme wazi kuwa hawana uhakika na usalama wa chanjo!! Siyo unasema chanjo ni salama halafu unakwepa kuwajibika! Waseme wazi: Chanjwa at your own risk!!
 
Ilimradi tu hawa covidiots walete tafrani
Umeshaambiwa kuchanja ni hiyari sio lazima. Kwa maana nyingine unawajibika kwa maamuzi yako yoyote utakayochukua. Ukikataa, faida na hasara ni juu yako na ukikubali, faida na hasara ni juu yako.

Epuka kuishi kwenye fikra za marehemu. Covid-19 ipo na inaua. Chukua tahadhari,jikinge na ulinde familia yako
 
Mkuu nilisahau kukutahadharidha huyo unaye debate naye Thinking capacity yake ipo Very Low. Yeye anawaza ubishi wa CCM na CHADEMA, usishangae akikuita majina kama Lumumba etc. Hawezi kutoa maelezo yoyote yanayotegemea kichwa chake zaidi ya kufata mkumbo tu. Amejaa ushabiki tu Ila ni ZERO brain. Nakushauri fanya kum ignore tu.
Asante kwa taarifa mkuu,nimekupata.
 
Unayempuuza ndiye ambaye yuko very well informed.Corona ni a hoax mkuu,funguka.

Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa maisha yako kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.

Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let me make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine,no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

I am sorry,sikujua kwamba wewe ni idiot,stupid and loon.
 
Athari za operation ni tofauti na athari za chanjo ya mRNA!! kwenye upasuaji unaathirika wewe tu. Lakini kwenye hizi chanjo za corona, unaathirika kwenye vinasaba au DNA. Na unawarithisha watoto wako utakaowazaa baadaye!! Watoto nao watawarithisha watoto wao!! Its very serious!!
 
Mpaka unachanjwa si unaridhia mwenyewe kwa kitu chochote, hapo serikali iwajibike kwa lipi?

Hakika BAVICHA Mbowe anawapeleka puta kama gari bovu.
Hivi huko UVCCM hakunaga vijana wenye uelewa na udhubutu wa kushauri/kuhoji jambo lolote, maana kila anayetoa ushauri mzuri kwa serikali lazima mumhusishe na BAVICHA?
 
Back
Top Bottom