Fomu namba 17 haitamwezesha raia kupiga kura

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Kwa anaye jua kazi ya form nomer 17 kweny uchaguzi anisaidie. je ipo kisheria au ni taratib? Kama ni sheria kwann tuambiwe kuwa kwenye hizi chaguzi hazita tumika
 
Bado siamini kama hakuna anae ijua
Si wote wanajua matumizi ya fomu no 17, kwahiyo kinachotakiwa wananchi wote bila kujali itikadi ya kisiasa ni lazima waeleweshwe kuhusu fomu no 17 na ni lazima iwepo na itumike. Maana CCM na tume tunawajua hawakawii kusema watu waliopoteza kadi hawakujitokeza wenyewe na kuomba hiyo fomu hivyo walipoteza wenyewe haki yako kwa kutokufahamu uwepo wa fomu hiyo. Huna kadi hakikisha siku ya kupiga kura unawahi kituoni na uombe hiyo fomu upige kura full stop
 
Kama skosei tuljaza tulopigia v2o tofauti na tulpo jiandkishia hasa wasimamiz na wakala
 
Kuna fununu kuwa NEC imepewa shinikizo la kuto peleka form no 17 katika uchaguzi Arumeru.Form hii hutumika kwa wale waliopoteza kadi.Nia na madhumuni ni kuwanyima haki wale waliopoteza kadi wasipige kura.Hii itawaathiri sana vijana kwani mara nyingi ndio wapotezaji wakubwa na kina Bibi,Mama na Wazee ndio watunzaji.Hiki litakuwa pigo kwa CDM ambayo asilimia kubwa ya wanachama wake ni vijana....
Nawasilisha...
 

Attachments

  • Tanzania.gif
    Tanzania.gif
    39.6 KB · Views: 341
magamba hayawez kukubali kutoa hzo form kwani inaweza ikawa ndo moja ya kujichimbia kaburi lake huko arumeru.
 
Wakati mwingine ni vizuri kutoa Mapafu ya wa tume ili kuleta heshima kuna michezo Mingi michafu humo
 
CDM ni wapole sana ila sio wanyonge.Serikali ikileta mchezo Arumeru hapata tawalika kama umeya wa Arusha...
 
Vijana na sisi ifike mahali tutambue kuwa siasa ni maisha, tutunze shahada sana, tuache mchezo na maisha yetu. Tuanze kuchukua hatua serious.
 
NEC imetangaza rasmi kuwa hakuna mwananchi atayeruhusiwa kupiga kura kwa kutumia fomu na 17 kama hatakuwa na shahada yake ya kupigia kura hata kama jina lake litakuwemo kwenye daftari la kupigia kura

Naomba mwenye kuelewa matumizi ya fomu namba 17 atuelimishe hapa jamvini maana NEC hawakutoa ufafanuzi wowote.


Source:Star Tv saa 2 usiku.
 
sasa hivi itakula kwao,vijana wa kimeru wamechukua kadi za kina mama na wazee na kuzificha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom