Followers wa Displore waijia Displore juu baada ya kumsahau Rais Magufuli

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Hongera saana Rais Magufuli. Ni baada ya huyu Youtuber kuweka top 10 ya marais wanaofanya vizuri Afrika na kwa bahati mbaya kamsahau Rais John Magufuli.

Kilichotokea post yao ya pili ilibidi waanze kumdadavua Magufuli kwa undani wake.

Angalia comments za followers kutoka kote Duniani.

Screenshot_2020-08-07-14-22-17-1.jpg
Screenshot_2020-08-07-14-22-23-1.jpg
Screenshot_2020-08-07-14-22-27-1.jpg
 
Ili we jamaa nae, umekaa kama kiazi flani hivi. Embu jisome vizuri, siasa siyo nzuri kwa kila mtu japo ni haki yako ki katiba. Nilikuwa nakuona mjanja flani lakini una umbwiga ndani yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Followers wa jamiiforum wamjia juu daby baada ya kuanzisha uzi wa "Followers wa Displore waijia Displore juu baada ya kumsahau Rais Magufuli.". 😂
 
Ili we jamaa nae, umekaa kama kiazi flani hivi. Embu jisome vizuri, siasa siyo nzuri kwa kila mtu japo ni haki yako ki katiba. Nilikuwa nakuona mjanja flani lakini una umbwiga ndani yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa!!! Sasa ndio umejibu nini ..mimi nilidhani kwamba utakuja na ushahidi unao onyesha kwamba hizo comment za wachangiaji wa youtube sio comment halisi bali zimetengeneza badala ya kufanya hivyo cha ajabu unakuja hapa na kuanza kumu-attack mleta uzi ... Hii sasa ni chuki mbaya sana

Mimi simpendi jiwe . lakini kama kuna watu toka nje ya nchi wana zungumza mazuri kumuhusu siwezi kuwapinga kwa sababu huwenda madai yao yakawa yana logic
 
Kwanza ukishakuwa mkubwa elewa tu haitakuja kutokea wote tukawa na mitazamo sawa.

Ukishalijua hili tu umemaliza.

Ushasema haumpendi Jiwe, ila siwezi kukuchukia au kuanza kuku-attack kisa mimi napenda uongozi wake.
 
Amefanya kosa gani mleta post?? Wanaomtaka magufuli awe namba moja ni wa mataifa mengine, na nimeona comments zaidi ya 600 wote wanamsifia na kumtaka magufuli.
Nimeona waghana, wanigeria, wasouth, wakenya, wazimbabwe

Back
Top Bottom