tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Nashindwa kuelewa hasa hii kero ya foleni Mbezi mwisho. Tatizo ni mjenzi wa barabara au traffic hawajipangi vizuri?
Unasimama saa nzima
Unasimama saa nzima
Nashindwa kuelewa hasa hii kero ya foleni Mbezi mwisho. Tatizo ni mjenzi wa barabara au traffic hawajipangi vizuri?
Unasimama saa nzima
Dar es Salaam ni jiji la hovyo sana kuwahi kushuhudia tangu kifo cha Yesu.
Vyote viwiliNashindwa kuelewa hasa hii kero ya foleni Mbezi mwisho. Tatizo ni mjenzi wa barabara au traffic hawajipangi vizuri?
Unasimama saa nzima
Kifo cha Yesu.tangu lini?
Dar es Salaam ni jiji la hovyo sana kuwahi kushuhudia tangu kifo cha Yesu.