Foleni ya Mbezi Mwisho, tatizo wajenzi au Traffic?

Hahaha unaelewa maana ya neno traffic?! Kwa kukusaidia, dunia hii ni ile ile haijawahi kuongezeka, lakini binadamu tunaongezeka. Idadi ya magari inaongezeka hivyo msongamano hauhepukiki.
 
Tatizo Traffic unaweza toka St.Joseph Luguluni hadi stop over usikute traffic hata mmoja hasa hasa weekend.na hakuna njia Ina bajaji na pikipiki nyingi kama njia hiyo.sasa vulugu za pikipiki na bajaji na magari matokeo yake ndio haya ukitoka stop over to mbezi mwisho Masaaa manne
 
Tatizo lipo kituoni hapo, magari ya kuingia na kutoka ....
Kituo kipo karibu sana na barabara na ndio maana kinajengwa kituo mbadala na hao wachina,

Kingine hiyo junction ya Goba pia inachangia sana foleni na hapo patawekwa fly over , so be patient mkuu,
 
Shida kubwa ni pale darajani kati yabkibanda cha mkaa na mbezi mwisho magari yanayopitia njia ya vumbi yanapoingia moro road huchelewesha sana magari ya barabara kuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom