Foleni ya malori bandarini Dsm ni hatari

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
Wanaopita barabara ya Mandela mpaka daraja la Kigamboni watakuwa wameona shughuli.

Je, tatizo ni nini na litakaa muda gani watu wajiandae kisaikolojia?

Bila shaka swali hili la nyongeza litajibiwa na waziri mwenyewe sio naibu wake
 
Wanaopita barabara ya Mandela mpaka daraja la Kigamboni watakuwa wameona shughuli.

Je tatizo ni nini na litakaa muda gani watu wajiandae kisaikolojia?

Bila shaka swali hili la nyongeza litajibiwa na waziri mwenyewe sio naibu wake
Piga mbizi
 
Tumieni helkopta kukatiza maeneo yenye vurugu za foleni😆😆😆
 
Na hamtaki kujenga bandari kubwa bagamoyo mnang'ang'ania hapo hapo pafinyu, wacha mkae foleni shenzi.
 
Back
Top Bottom