Foleni ya Magari hayatembei toka Kongowe hadi picha ya Ndege

Kwa wenye experience na nchi za wenzetu, hivi hii hutokeaga pia nchi nyingine au hapa bongo tu?

Tusaidiane tunatokaje hapa kuwahi familia zetu?

Wakubwa mpunguze pia na misafara yenu mnatutesa.

Si wako Dodoma mkuu? Wakubwa gani wamebakia kula mahindi ya kuchoma barabarani kwa Kunenge?
 
Kwa wenye experience na nchi za wenzetu, hivi hii hutokeaga pia nchi nyingine au hapa bongo tu?

Tusaidiane tunatokaje hapa kuwahi familia zetu?

Wakubwa mpunguze pia na misafara yenu mnatutesa.

Nipo ubungo nina safari ya kwenda kongowe,bado kuna foleni?
 
Toka walivyoanza utanuzi wa barabara kuanzia picha ya ndege hadi kongowe kumekuwa na foleni kubwa sana na ukiangalia barabara ya mchepuko (barabara ya zamani ) imekuwa mbovu sana ... Nafikili wangeliangalia hili maana lishakuwa tatizo sugu kwa sasa na ukizingatia ni barabara inayotumiwa na wengi
 
huwa najiuliza kwann serikali na Tanroads waliacha ile barabara ya zamani ife,, kwa kipindi kama hiki ingesaidia sana
 
Kwa wenye experience na nchi za wenzetu, hivi hii hutokeaga pia nchi nyingine au hapa bongo tu?

Tusaidiane tunatokaje hapa kuwahi familia zetu?

Wakubwa mpunguze pia na misafara yenu mnatutesa.
Nairobi kuna foleni sana baadhi ya maeneo kuliko hata Dar
 
Kwa wenye experience na nchi za wenzetu, hivi hii hutokeaga pia nchi nyingine au hapa bongo tu?

Tusaidiane tunatokaje hapa kuwahi familia zetu?

Wakubwa mpunguze pia na misafara yenu mnatutesa.
Duuu hicho kipande kilisababisha niungie Moro
 
Kilisababisha niingie moro saa 8 usiku last week, kuna matengenezo kwa Mathias pale yaweza kuwa ndio sababu kubwa,
So unaniambia hii Tunduma ni kesho??!!
Natamani kutoboa ila dah huu upupu unaendelea hapa unaniwazisha sana
 
Kwani kuanzia Mwendapole/Kwa Mathias hadi Picha ya Ndege hapo sio kuwa kuna upanuzi/ukarabati wa barabara? Na panapokera zaidi ni pale Picha ya Ndege kwenye kuchepuka pembeni

Huenda ndio chanzo cha foleni
 
Toka walivyoanza utanuzi wa barabara kuanzia picha ya ndege hadi kongowe kumekuwa na foleni kubwa sana na ukiangalia barabara ya mchepuko (barabara ya zamani ) imekuwa mbovu sana ... Nafikili wangeliangalia hili maana lishakuwa tatizo sugu kwa sasa na ukizingatia ni barabara inayotumiwa na wengi
Hakuna utanuzi unaofanyika zaidi ya kuweka zege zile sehemu korofi.
 
Kuna jamaa yangu mmoja alinambia mbona hizi karabati haziishi kila siku wanajenga

Ova
 
Watu wanapata tabu hapo kwamatiasi acheni barabara mchepuko nimbaya sana ndohiyo magari makubwa nayo yapite humo achen tu
 
Back
Top Bottom