Wakati mwingine ni undeshaji wa watu binafsi. Inaeleweka kwamba lane ya kulia ni ya kuovertake na kwenda speed kuliko ya kushoto. Lakini hata kama hakuna foleni unakuta mbele kuna wapuuzi wawili wamekuziba na wanaenda kwa speed kama vile wanafanya mazungumzo.
Ukiwapigia honi tena mara kadha ndipo wote wanagutuka na kuanza kuongeza ili uwapite. Na wakati unawapita ukijiuliza kwa nini wanaendesha speed ya kinyonga unakuta mmoja ama alikuwa anongea na simu au ameishikilia huenda anatuma au kusoma meseji.
Hali hii ni mbaya hasa kwa vile vigari vidogo ambavyo tunanunulia wapendwa wetu!