Foleni ya kutisha Ubungo

10000

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
781
656
habari wadau, tangu jana hawa jamaa wa mrad wa mabasi yaendayo kasi wamefunga upande mmoja wa barabara ambao ndio unatengenezwa hivyo kusababisha folen kua kubwa sana hapa ubungo, nimetumia dakika 55 (6:10-7:05) kutoka mabibo hostel hadi udsm,
 
Sao-Paulo-traffic-gridlock.jpg
 
Yeah, ukitaka kula lazima uliwe kwanza. Tuvumilie hadi matengenezo yatakapokamilika
 
Dah hongera kwa kuwahi mi toka saa 12 nipo Rombo hata Ubungo maji sijafika.
 
habari wadau, tangu jana hawa jamaa wa mrad wa mabasi yaendayo kasi wamefunga upande mmoja wa barabara ambao ndio unatengenezwa hivyo kusababisha folen kua kubwa sana hapa ubungo, nimetumia dakika 55 (6:10-7:05) kutoka mabibo hostel hadi udsm,
na bado hadi mradi uishe uta shaa...
 
Tembea kwa mguu using'ang'anie kwenye gari utafika mapema

Wabongo sie wavivu sana unatoka Mabibo tu hapo kwenda UDSM unapanda gari wakati foleni ni kubwa hivyo? Hizo 55 mnt alizotumia kwenye foleni si bora angetembea tu? it only takes 25mns tokea Hostel hadi UDSM
 
habari wadau, tangu jana hawa jamaa wa mrad wa mabasi yaendayo kasi wamefunga upande mmoja wa barabara ambao ndio unatengenezwa hivyo kusababisha folen kua kubwa sana hapa ubungo, nimetumia dakika 55 (6:10-7:05) kutoka mabibo hostel hadi udsm,
sisi wa kigamboni tumeshazoea, ni matembezi ya mshikamano toka feri hadi posta mpya - wengine hadi Mnazi mmoja!! na nyie wa ubungo tuungeni mkono - tunaijenga nchi yetu. CCM oyeee!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom