Foleni ya kutisha buguruni-tabata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni ya kutisha buguruni-tabata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kintiku, Aug 23, 2011.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Siku za karibuni kumekuwa na foleni ya kutisha sana kuanzia Buguruni Sheli hadi njia panda ya Tabata. Tatizo hasa ni askari traffic mmoja mweusi ana ''V'' tatu (Sajenti?) huwa anashika Radio call. Tangu aanze kuongoza magari hapo Tabata imekuwa shida sana. Haiwezekani pale TAZARA (njia nne) pasiwe na foleni halafu foleni iwe Tabata.

  Tatizo lao wanavuta magari yanayotoka Tabata na Ubungo na kuyasahau yanayotoka Buguruni. Pia hakuna askari wa kutosha watu wanatanua sana na kufanya msongamano uwe mkubwa pale Matumbi na njia panda ya kigogo.

  RTO upo? hebu ondoa foleni hii kama walivyofanya pale TAZARA.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  RTO hayupo JF mkuu sijui atapataje feedback! Poleni na foleni watu wa DSM,
   
Loading...