tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Kwa mujibu wa TRA, asilimia sabini (70%) ya mizigo inayopitia bandari ya Dar es Salaam kwenda nje ya nchi, inapita Tunduma. Ni ajabu mamlaka husika ni kama zinafurahia foleni ya malori Tunduma, ambayo hufika zaidi ya kilometer tano (5).
Barabara hii inapaswa itanuliwe, na pia upitishaji mizigo uendane na kasi ya awamu ya tano. Lakini tusisahau reli ya TAZARA ambayo ni option rahisi.
Barabara hii inapaswa itanuliwe, na pia upitishaji mizigo uendane na kasi ya awamu ya tano. Lakini tusisahau reli ya TAZARA ambayo ni option rahisi.