Foleni mandela road

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Jamani natokea mwenge naenda taifa nimepitia mandela road buguruni hapafai .. Kuna foleni kama laana.
 
mie naishi huku tabata najiuliza haya maloli kwanini yatoke bandarin muda wa jioni ambao magari mengi yanatoka mjini,
kuna muda iliwahi tangazwa bandarin ni masaa 24. lkn folen ya tazara,bugurun, tabata mpaka uione ubungo ni balaa na yote ni jioni tu asubuhi sijui wanakuwaga wapi?
na viongozi wetu wana maexposer mazuri tu shida utekelezaji kwani kwa wenzetu huko ulaya kama unaenda tabata kuanzia matumbi njia inachongwa maalum kwa wanaokwenda tabata(kulia tu) ambapo hadi kufika pale mataa inaungana na njia ya tabata bila kupingana na yale ya ubungo.

ni matatizo yetu wenyewe na tunayataka wenyewe kwani hata kariakoo mchana malori yanaingia kushusha mizigo hilo folen lake mpaka unajiuliza hakuna usalama kama wakishusha asubuh kabla ya saa 3 au usiku.

mashimo mpaka unajiuliza hawa wanaogombea udiwani hata. na kuwa mameya hawaoni njia kuu zina mashimo na wakija kuziba wanaweka vimraba. vinakaa mpaka unajuta kununua gari TZ.

SIO MWANDISHI NA NATUMIA SIMU ILA YANANIKERA SANA NA KODI YANGU NI 450000 KWA MWEZI KWENYE B.S. bado. umeme vijijin kwenye luku,na vat kwenye vya vat, mafuta ya gari bei haisimami vizuri plus hiyo ya kuchangia elimu kupitia. mobile money(mpesa, tigo pesa,na nyenginezo)
 
Back
Top Bottom