Foleni Kwenye Mizani ni Janga la Kiuchumi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
Nimekuwa nikitafakari sana hizi foleni kwenye mizani na hasa kwa magari ya mizigo ambayo yamesheheni bidhaa mbalimbali ambazo ni uti wa mgongo kwa biashara na uchumi wa Taifa, yakiwemo mafuta na bidhaa nyinginezo za madukani na viwandani

imenikuna zaidi baada ya jana kukuta foleni kubwa mzani wa Singida, nikajiuliza sana, Kibaha foleni, Mikese foleni kubwa, Singida foleni, Tinde foleni.......kule Tunduma ndio kabsaaaaaaaaaaa

jamani titafika kweli? majuzi waliomba idadi ya mizani walau zipungue lakn walijibiwa kwa nyodo sana

Jamani hebu tuliangalie na hili, tutafika kweli? uzeofu wa nchi nyingine ni kama ss?
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,890
2,000
Hii ndo Tanzania. Wametengeneza miundo mbinu ya kula kiurahisi.
Kwa hili nadhani sina comment nyingi ingawa ni kweli wenye malori nao wanajazaga sana magari mizigo ila kikubwa sana sana ni kuwa kuna ucheleweshaji usio na maana wala tija kwenye ustaarabu mzima wa wanaotumia barabara.
Waathirika wakubwa ni abiria
 

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
Hii ndo Tanzania. Wametengeneza miundo mbinu ya kula kiurahisi.
Kwa hili nadhani sina comment nyingi ingawa ni kweli wenye malori nao wanajazaga sana magari mizigo ila kikubwa sana sana ni kuwa kuna ucheleweshaji usio na maana wala tija kwenye ustaarabu mzima wa wanaotumia barabara.
Waathirika wakubwa ni abiria
ni kweli kabisa, kulikua na wazo kwamba huenda idadi ya mizani zipunguzwe walau ukipima kibaha uwe na kadi tu ya uthibitisho lakn ujanja hapa bongo ni mwingi kuliko uadilifu inatucost sana, hili la abiria, nilimsikiliza sana Mh Rais hotub yake ya mwanzoni, minongoni mwa issues ilikua kwamba wataalamu waangalie kama kuna haja ya kupima HATA MABASI...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom