Foleni kubwa Mbagala mpaka Vikindu

arch 82

Member
Mar 8, 2016
77
32
Wakuu,

Kama unatoka maeneo hayo ndo unajiandaa kurudi kubali kukesha njiani maana foleni ni kubwa mno na haitembei.
 
Kuna njia ya mkato toka Mikwambe unatokea Kijichi kupitia nyumba za NSSF na Vikunai. Ni fupi sana na unakwepa sana foleni kwa kiasi kikubwa...
 
Na ule mto vp hauna maji?

Pale ambapo ukivuka unatokea mgeni nani.
 
Kuna njia ya mkato toka Mikwambe unatokea Kijichi kupitia nyumba za NSSF na Vikunai. Ni fupi sana na unakwepa sana foleni kwa kiasi kikubwa...
Hakuna mto?????au panapitika hivyo hivyo???
Sasa njia za namna hii zingetengenezwa ingeepusha foleni
 
Mkuu,

Kuna mto unavuka. Ila hauna maji mengi. Hata ukiwa na IST unavuka tu. Ni njia nzuri kama mvua haijanyesha...

kwa wenyeji, ndo njia yetu hii...
 
Back
Top Bottom