Mzee Kongowe ndio utapita lakini ushakutana na jam la mbagala mwisho??pale ni hadi 3 hours unakaa!!ni madaladala yanaingia na kutaka kutoka afu askari wanatazama tu afu hapo ndio mwisho wa double road!!yani siku hizi hata afadhali siioni kwa kweli!!nashindwa kuelewa hivi kwa nini serikali inatabia ya kuanzisha vitu na kuishia njiani kwa mfano barabara hii ya mbagala ilikuwaje iishie Zakhem na sio Kongowe?na pia barabara ya ubungo kimara hadi mbezi yani barabara ya morogoro ilikuwaje ile double iishie pale kimara??hivi kwanini hatujifunzi kutengeneza future??angalia uwanja mpya wa Taifa,lengo lilikuwa ni kutoa viwanja vingi vya ndani vya michezo mbalimbali,lakini tumeishia ktk mpira wa miguu!!Most of weekends hiyo ni kawaida mkuu,wenzako uwa tunapita Kongowe,