Foleni jijini Dar es salaam yapatiwa uvumbuzi-soma upate picha halisi

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Foleni Dar yapatiwa uvumbuzi na serikali ya SISIMU imeanza kujigamba kua imetekeleza ahadi yake ya kuondoa msongamano wa foleni jijini Dar es Salaam. Kwa siku kama 5 hivi msongamano wa magari umepungua na kazi zinaenda kama kawaida. Sasa sijajua ni utekelezaji wa ahadi na ilaani ya SISIMU au ni huu mgomo baridi wa wasambazaji wa mafuta. Hapo sijajua ni kipi kimechangia foleni na msongamano kupungua Dar. Ila baadhi ya makada wa SISIMU wanajigamba kua ni utekelezaji wa ahadi. Nupe yupo hapo? CHADEMA nanyi mnasemaje?
 
Hakuna ulazima wa kuleta gari lako barabarani. Tatizo kila mtu anataka kuweka gari lake barabarani! Kuna umuhimu wa kutumia public transport, unaona mambo yalivyokuwa mswano,mtu hukai barabarani muda mrefu!
 
mwee kweli hii ni gud solution. jana nimetumia 10 mint kutoka mbezi beach hadi ubungo. wakati huwa natumia like 1 hr. loooh na wale wanaopenda kusingizia foleni kisha wanapita chobingo aaah ntawapa pole mbona.........
 
][/B]Hakuna ulazima wa kuleta gari lako barabarani. Tatizo kila mtu anataka kuweka gari lake barabarani! Kuna umuhimu wa kutumia public transport, unaona mambo yalivyokuwa mswano,mtu hukai barabarani muda mrefu!

mhhh kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!!!!!! am just speechless:angry:
 
Back
Top Bottom