Foleni Dar: Yamekupata yapi leo katika foleni za magari?

upuuzi, na hii ni sababu moja wapo ya kuiondoa serikali madarakani. asa wanafanya nini kama wameshindwa kusolve vitu vidogo kama hivi?

we kweli kiazi tatizo la traffic jam ni la ulimwengu nenda ulaya utakuta jam,uliza swali jingine.
 
Mkuu ulifika nyumbani baada ya muda gani kwenye foleni?

Nilifikia saa tatu na dakika 46 mkuu, hoi. Kuna mtu kaniambia automatic cars are less pain lakini hiyo pesa sasa ntapata wapi

Natamani hii thread ingebadilishwa heading ili iweze kuwapatia watu uzoefu wao wa foleni kila siku. Pengine serikali ingeliona hili
 
Pole sana Mkuu. Nikiwa Dar, huwa nakuwa na ratiba yangu ya siku inayofuatia. It means kuwa nikisharudi nyumbani na ku park gari, sitoki tena, labda iwe emergency. Hii yote ni kwa sababu ya adha ya foleni.

Magari ya automatic ni mazuri sana hasa kwenye foleni, maana wewe unacheza na break tu, foleni ikisogea unaachia break linakwenda lenyewe. Ninaamini kuwa magari mengi sasa, hasa yale imported kutoka Japan ni automatic, tena bei yake ni rahisi ukilinganisha na yale yenye gear manual. Nilikuwa mpenzi sana wa manual gear, lakini tangu nianze kuendesha magari automatic, nimeyapenda sana. Ila manual ina utamu wake esp. kama gari engine inapokea vizuri.
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, kuhusu manual. Lakini mimi pia nimeizoea sana hasa ukipiga mikoa, kwa kawaida manual system husaidia sana wakati wa kusimamisha gari ghafula kwa sababu unapangua gia tu. Lakini automatic kama umeshanyoosha mguu umerelux ni vigumu kusimama ghafula.

Anyway, solution hasa ni hili lijiserikali kutatua tazizo la foleni ama kwa kutawanya ofisi za serikali nje na miji au kujenga barabara
 
Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates

Nilitokea mjini katikati maeneo ya Imalaseko Supermarket, kuelekea Kigamboni. Kutoka hapo Garden street had Kuingia kwenye foleni ya Feri ilinichukua saa moja na nusu. Kwenye foleni ya Kuingia kwenye pantoni ilinichukua tena saa moja nzima, baada ya kuchakachua kidogo. Nilianza safari saa 12 kamini jioni nikafika nyumbani saa 3.46 usiku, ni umbali jumla ya kilomita 14 kutoka mwanzo wa safari hadi nyumbani kwangu.

Duh!!
Pole sana member!
Hizi hali za huko nyumbani ndio mara zote zaninyima raha kurejea ....japo nipo njiani kuja home!
 
foleni ya juzi na jana (18&19) ni kwa sababu ya ule mkutano sijui wa nini vile uliokuwa unafanyika pale mlimani city, huku washiriki wake wote wakilala hoteli za mjini na mwingine ikulu. Mbaya zaidi wanajua kabisa wanapita kwa misafara, halafu hawajipangi watoke wote kwa pamoja, yani alikuwa anapita mtu mmoja, barabara inabaki nyeupe kwa dakika 40 hadi saa ndio mwingine anapita, halafu raia tunaokatwa kodi bila kujali usumbufu kama huo tunaangalia tu, sometimes huwa natamani niwe kwenye public teransport nishuke nitembee kwa miguu, but upo kwenye gari lako, unafanyeje? you have to wait tu.......

Huyu nyoka aliyejivua gamba serikali imeshamshinda, japo kajivua gamba kabaki kuwa nyoka yuleyule, kilichobaki auwawe na nafasi yake ichukuliwe na chatu
 
Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates

Nilitokea mjini katikati maeneo ya Imalaseko Supermarket, kuelekea Kigamboni. Kutoka hapo Garden street had Kuingia kwenye foleni ya Feri ilinichukua saa moja na nusu. Kwenye foleni ya Kuingia kwenye pantoni ilinichukua tena saa moja nzima, baada ya kuchakachua kidogo. Nilianza safari saa 12 kamini jioni nikafika nyumbani saa 3.46 usiku, ni umbali jumla ya kilomita 14 kutoka mwanzo wa safari hadi nyumbani kwangu.
Nami jana nilikuwa kwenye foleni hiyo ila kulikuwa na msafara wa magari mengi na askari walitanga kila koa, baadaye nikaona msafara unapita na magari yameandikwa ESCOTE, STATE,BURUNDI NK na magari mengi ya usalama na ya mawaziri na ya Ikulu za nje, tena kama zali gari langu lilikuwa la mwisho kuruhusiwa kisha barabara zikafungwa
 
I can imagine. Siku moja nilikuwa Mandela Road, naelekea Mwenge nikawa kwenye foleni haisogei nadhani kama masaa mawili. Fuel gaude ya gari langu la diesel ilikuwa kwenye E, halafu nikajisikia kwenda haja ndogo, kisha tumbo likaanza kunichafuka....Ilibidi nitumie yoga meditation ili kupoteza akilini mwangu hali hiyo. Kwa bahati, baada ya muda mrefu, sikumbuki ulikuwa ni kiasi gani, nilifanikiwa kufika Ubungo petrol station na kujaza diesel. Foleni za Dar si mchezo!

huyo yoga meditation hawezi kusaidia kutatua tatizo la foleni na kubadilisha mshale wa mafuta kusoma "F" badala ya "E" ?
 
jana kwenye dala dala nimekaa na shori mmoja kaanza sinzia na kile kibaridi si akailalia salalaleeee........kufika TAZARA nishaanza kupima oil...
 
niliwahi toka mjini saa 12jioni nikafika mbezi mwisho saa saba usiku hakika sitaisahau siku ile kwani nilipofika temboni ilibidi nishuke kwenye daladala nikodishe pikipiki kwa tshs 3000 kwenda mbezi mwisho
 
Nimeishiwa kiwese na hapa karibu hakuna shell na foleni haitembei na simu haina vocha na nisaa tano usiku nyerere road. Ciao.
 
Hivi kwani wavua magamba wapo humu ndani.
Nilifikia saa tatu na dakika 46 mkuu, hoi. Kuna mtu kaniambia automatic cars are less pain lakini hiyo pesa sasa ntapata wapi

Natamani hii thread ingebadilishwa heading ili iweze kuwapatia watu uzoefu wao wa foleni kila siku. Pengine serikali ingeliona hili
 
Nilifikia saa tatu na dakika 46 mkuu, hoi. Kuna mtu kaniambia automatic cars are less pain lakini hiyo pesa sasa ntapata wapi

Natamani hii thread ingebadilishwa heading ili iweze kuwapatia watu uzoefu wao wa foleni kila siku. Pengine serikali ingeliona hili

Pole sana Gurudumu,

Mie niliamua kubana nearby kumalizia reports za kazi. Nilifika ferry at 9:40pm, hakukuwa na foleni kabisa na nikakuta MV Magogoni inapakia, so straight to the ferry na kuvuka.

Daraja sijui ndio lini tena? Mateso sana haya.
 
Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates

Nilitokea mjini katikati maeneo ya Imalaseko Supermarket, kuelekea Kigamboni. Kutoka hapo Garde n street had Kuingia kwenye foleni ya Feri ilinichukua saa moja na nusu. Kwenye foleni ya Kuingia kwenye pantoni ilinichukua tena saa moja nzima, baada ya kuchakachua kidogo. Nilianza safari saa 12 kamini jioni nikafika nyumbani saa 3.46 usiku, ni umbali jumla ya kilomita 14 kutoka mwanzo wa safari hadi nyumbani kwangu.

Mimi yamenipata makubwa ambayo sitaki hata kuyasema ila mzee mmoja aliyekuwa anawahishwa Hospitalini kupata matibabu, baada ya kusota kwa takriban masaa kadhaa kwenye foleni aliaga dunia kabla hajafikishwa Hospitalini
 
huyo yoga meditation hawezi kusaidia kutatua tatizo la foleni na kubadilisha mshale wa mafuta kusoma "F" badala ya "E" ?
Kwa vitu hivyo, unatakiwa uwe mahiri sana. Bahati mbaya mimi siwezi kufanya hivyo. Ila unaweza kuzuia hisia za mwili wako. Kwa mfano kama umebanwa na mkojo, hisia hiyo unaipoteza.
 
Back
Top Bottom