Foleni arusha by 2030 itapitikaje??

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEattHinkErs,
Inanikera sana kuona Foleni kutokea kisongo inaanzia Kilombero na barabara ni naona ni Finyu,
Inanikera Sana kuona Foleni inaanzia kijenge nikitokea Njiro na hakuna uwekekano wa kupanuliwa,
Vile vile Bara bara kuu kutoka Moshi. Foleni kuanzia mtaa ya Sanawari kama siyo darajani mto Nduruma hakujna soo.

Arusha 2030 itapitikaje? Wake up :clock:
 
unashangaa ya Arusha kuja dar uone foleni kuanzia mbezi/kibamba mpaka fire station city centre. watu wanapanda magari saa kumi na moja alfajiri wanafika city centre saa mbili.
 
unashangaa ya Arusha kuja dar uone foleni kuanzia mbezi/kibamba mpaka fire station city centre. watu wanapanda magari saa kumi na moja alfajiri wanafika city centre saa mbili.

2030 ni mbali sana mkuu!Miaka miwili ilopita foleni ya Arusha haukua kiasi hiki.Dar hapa ni kero kubwa mno!majiji mengine nayo yanakuja kwa kasi.kwel swala la barabara hasa kwa majijii inabidi lichukuliwe hatua za makusudi na za haraka
 
jamani si tushaambiwa tunawekewa flyovers........au mmesahau.......
 
2030 ni mbali sana mkuu!Miaka miwili ilopita foleni ya Arusha haukua kiasi hiki.Dar hapa ni kero kubwa mno!majiji mengine nayo yanakuja kwa kasi.kwel swala la barabara hasa kwa majijii inabidi lichukuliwe hatua za makusudi na za haraka

Hahaha Preta!!!!1

Naona engineer anatafutwa..................Mhh bila shaka alieahidi amesha sahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom