Focus 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Focus 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Oct 25, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  As the last minutes of the long waited elections of 2010 are about to arrive, regardles of the outcome, there is need to now continue with the focus of democraticizing Tanzania and focus on the 2015 elections.

  I do believe we have learn alot this year and if any political party is going to engage itself thoughtful and make a true assesment of elections 2010, wether the party is victorious or the loosers, they should not wait until 2014 or 2015 to overhaul themselves or sell themselves well to Watanzania.

  For the starters, I would like to see each party focuses on reducing the national debt. That has to be a priority and rather than waiting for the election day to pitch the idea, the job needs to start now.

  The below quote is a piece of information that signifies that if we do not make the aggressive and necessary changes to change our spending habits and improve production, we are going to continue with our Amani, Mshikamano and Utulivu journey into DOOMSLAND!

  Let the race begin!

   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Rev. Kishoka:

  Unayozungumza ni muhimu sana. Lakini nina wasiwasi kuwa hata Dr. Slaa anaweza kuongeza deni kwa sababu anazungumza utoaji wa huduma za jamii bure akipata ushindi.

  Hivi kuna uwezekano wa kuunda serikali ya technocrats pale nchi inapokuwa kwenye matatizo?
   
 3. v

  vickitah Senior Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa revenue colection hazifikii malengo tunafika wapi kwa mfano' i think we need to be serious hapo maana makusanyo ndo basis ya maendeleo.. tutaendelea kuwa dependent mpaka lini!!?
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Tatizo la bajeti ya Tanzania linatokana na ukubwa wa serikali na ukosefu wa usimamizi wa fedha za serikali. Ukitathmini bajeti zote za Tanzania miaka 25 iliyopita, ni chache sana mwanzoni mwa utawala wa Mkapa na mwanzoni mwa utawala wa Mwinyi ndizo zilizokuwa na usimamazi thabiti.

  Kila Shilingi mia za bajeti, utashangaa kuwa shilingi 65 hutmika hovyo hovyo tu. Kukipatikana usimamizi mzuri wa fedha za serikali na kupunguza matumizi ya serikali yasiyokuwa ya lazima basi sina wasi wasi na future, ila mambo yakibaki kama yalivyo au kuharibika zaidi, which is very likely kama Kikwete atashinda kwani atakuwa hana cha kupoteza tena, basi future ya nchi inaweza kuwa ya kutisha sana
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Unajua hili ni tishio kubwa sana kuliko hata huto tujisenti. Hata kama let say 80% ya matumizi zina ankara na stakabadhi, lakin ulafi wa Serikali yetu unatisha. I seriously need to get the online copy of maandishi ya Mwalimu on frugality.

  Deni letu linaongezeka kutokana na matumizi yasoyo ya lazima na yasiyoleta maendeleo. Tunaweza kuongeza ufanisi kwa kutengeneza lean and efficient government na hii ni kazi ambayo kama watu wako serious, ilitakiwa iwe ni highlight ya Uchaguzi mwaka huu.

  We still have a chance hapo 2015 na ni lazima uchaguzi wa 2015 uwe Economy stupid na si kingine!
   
Loading...