Fly Over za Kenya zatufunza nini Tanzania?

umenena , mfano mzuri we fikiria tu mkoa wa pwani kama kuna maendeleo, watu wanaishia tu kukaa vibarazani, hawana wanachofanya na kufikilia zaidi ya kuhudhuria ngoma na sherehe za kila wiki.

Na sisi tukome kiherehere na CHAGUO LA MUNGU
 
Mkuu, umempiga marungu makali sana mkuu ya kaya, lakini hebu tukumbuke, rais wetu si ana mawaziri na washauri wengine? They could show him the way.....

How can you show him the way wakati mwenzako sio kipaumbele chake? Simply atakuambia kuwa hakuna pesa kwakuwa pesa zote zimeelekezwa kwenye chaguzi ndogo kukomboa majimbo, ambacho ndo kipaumbele cha boss wako. Ukitaka kumkomalia ili upewe fedha ya miradi ya barabara unaambiwa wewe ni mpinzani au unatumiwa na wapinzani kukidhoofisha chama. Nani asiyejua kuwa miradi yote ya ujenzi barabara imesimama? Kipaumbele cha kiongozi wetu ni chama chake kwanza halafu Taifa baadaye.
 
Make sure vijana wa mitaani ambao ndio wa kulete haya mabadiliko wanajiandikisha kupiga na KULINDA kura. Otherwise, yatakuwa yale yale ya kumsukuma Mrema then kura hazitoshi.

Angalia kitu cha Thika Road
 
Attachments

  • 98f8d5c8ef5f4c3387197fbd6bd66a11.jpg
    98f8d5c8ef5f4c3387197fbd6bd66a11.jpg
    32.5 KB · Views: 44
Atauza machungwa hata miaka 50 kihalali kabisa, lakini hawezi leo kuja kushona viatu, kesho ana grocery, keshokutwa bar. Ukichunguza utakuta katika mali ya huyo asiye wa pwani 99% ni haramu tupu.

Nani asiyejuwa hilo?

Tayari, game limeanza........yetu macho hapa!
 
Kazi tunayo. Hivi kenya wao si wanategemea chai na kahawa tu kuingiza hela za kigeni.

sikujua kama chai na kahawa ina dhamani kuzidi almasi,dhahabu na tanzanite.

Tanzania Tanzania nchi yenye vilaza wengi wakiongoza nchi tajiri.

Wakenya wamejengewa na waChina hii kitu. Wakenya wenyewe wasingeweza kusimami huu mradi bila kula pesa yote
 
Mkuu, umempiga marungu makali sana mkuu ya kaya, lakini hebu tukumbuke, rais wetu si ana mawaziri na washauri wengine? They could show him the way.....

Nani kakudanganya ****** huwa anashaurika? lazima tukubali Tanzania inaongozwa na viongozi
MAFISADI,wanaojijali wao na familia zao tu.Ndio maana tuko hivi tulivyo Kenya hawana rasilimali
za kutuzidi sisi hata kufanya mambo makubwa ya maendeleo ya kutuzidi ni kwa sababu ya kujali
watu wao na kutokuwa wabinafsi.
 
Kuwa na flyover si kipimo cha maendeleo, fungukeni kidogo. Kwa kuwa Paris haina majumba marefu kama Dubai haina maana haijaendelea.

Kwa hiyo kua na foleni ya magari Mlimani city mpaka ubungo na buguruni mpaka ubungo na kwingineko ndio maendeleo?
 
Nani kakudanganya ****** huwa anashaurika? lazima tukubali Tanzania inaongozwa na viongozi
MAFISADI,wanaojijali wao na familia zao tu.Ndio maana tuko hivi tulivyo Kenya hawana rasilimali
za kutuzidi sisi hata kufanya mambo makubwa ya maendeleo ya kutuzidi ni kwa sababu ya kujali
watu wao na kutokuwa wabinafsi.
Nchi zote jirani zetu mkuu zinapiga maendeleo kwa kasi,nilikua Maputo last week,aisee wanaendelea na kasi ya ajabu!Chissano kwa kweli kaitendea haki Mozambique yake na Frelimo yake,wanastahili kuiongoza ile nchi,wananchi wanaipenda nchi yao na wamekua wazalendo kutokana na usimamizi mzuri wa rasilimali za nchi yao na mgawanyo sawa wa rasilimali!hapa tatizo sisi wananchi wenyewe wengi wetu hatujielewi tumekuwa vilaza wa kutupwa kwa kusifia maendeleo ya kikundi kidogo cha watu wanaofaidika wao na watoto zao kwa mgongo wa ujinga wetu!imefika kiwango sasa kuna baadhi ya viongozi wetu wanaona kwamba wao na familia zao ndio wenye kuimiliki Tanzania!hii yote ni kutokana na ujinga wetu sisi,tumebaki kuleta ushabiki usio na tija,kwa kudhani siasa ni ushabiki wa kama simba na young badala ya kuelewa siasa ni maisha yanayotugusa moja kwa moja!ukombozi wa kifikra unahitajika kwa Watanzania kuliko kitu chochote kile kwa sasa
 
sasa nini kila mtu kulalamika? Taifa hili ni la watu wa kulalamika tu. Tufunguke wote tuipende nchi yetu na tuchukue hatua. Wakati ufaao ni sasa tusingoje kesho. Mimi nimeanza kuchukua hatua kwa kufanya kazi kwa bidii, kulipa kodi zote za serikali, kusimamia makusanyo ya fedha za serikali kwa kudai stakabadhi kila ninapo nunua bidhaa au huduma, kusimamia rasilimali za nchi kwa nguvu zangu zote kwa kuwafichua wanaotufilisi katika vyombo vya sheria, sitaki kuwa na shirika na wala rushwa na wezi wa mali za taifa letu, sihudhurii minuso na tafrija za wezi wa mali za taifa letu na wala rushwa. Nataka taifa na dunia ijue kuwa nina chuki za dhati dhidi ya wezi wa mali za umma na wala rushwa. wewe mwenzangu unafanya nini? tafakari tushirikiane
 
Mkuu, umempiga marungu makali sana mkuu ya kaya, lakini hebu tukumbuke, rais wetu si ana mawaziri na washauri wengine? They could show him the way.....

Ana waziri Mh Makufuli anayesifiwa sana!
 
Kazi tunayo. Hivi kenya wao si wanategemea chai na kahawa tu kuingiza hela za kigeni.

sikujua kama chai na kahawa ina dhamani kuzidi almasi,dhahabu na tanzanite.

Tanzania Tanzania nchi yenye vilaza wengi wakiongoza nchi tajiri.

Hata aje malaika kutawala hatutafikia walipo Kenya ambao wao walishakuwa mbele yetu kwa muda mrefu sana tu! Sisi tukiwa mbele ya Uganda lakini leo hii Uganda juu ya matatizo waliyonayo (ya kutokuwa kisiwa cha amani) especial kaskazini wa uganda wanatupita na kutuacha kiuchumi!

Tatizo letu kubwa sana sisi ni wababaishaji vitabu vitakatifu vimesema Mungu atatupa Viongozi tunaofanana nao. Viongozi kwa maana nyingine wana reflect wananchi wao. Tunawapo wasakama viongozi ifike muda turudi kwenye maandiko tuona Mungu amesema nini. Nadhani sisi ndio wenye matatizo makubwa sana na mabadiliko inabidi yaanze kwetu sisi wananchi.

Wakenya kama wananchi ni watu wenye kujituma na wasiobweteka, wana sifa ya kujisomea na kujiendeleza kusoma tofauti na sisi kusoma na kujisomea nio utamaduni tunaoupenda na ndio maana vijana wetu wanaona wakifeli wataendelea na sanaa ya kuimba bongo fleva! Sisi ni wavivu tuliojaaliwa ardhi yenye rutuba lakini wakenya wenye ardhi ndogo wanalima na ku export maua, mboga mbonga na miraa kwenye nje! Ukisikia mtu ana shamba analima mahindi kule shamba basi ujue ni shamba kweli!

Tuache kulalama tupige kazi tumia muda wako wa lunch kupost comments jf piga kazi ili mwisho wasiku viongozi wajisute kuwa wananchi wao ni wachapa kazi na wao inawabidi wachape kazi!
 
nyie wa2 wa bara munajua nini km baba yenu alikuja na kaptura akazikwa na suruali

nyie wa pwani mlikuja na nini kama si kikoi sasa mnazikwa na msuli......chini ya mikorosho... msipoangalia ndio mnaondoka hivyo mdogo mdogo pwani zote si mnawapa waporaji
 
Kuwa na flyover si kipimo cha maendeleo, fungukeni kidogo. Kwa kuwa Paris haina majumba marefu kama Dubai haina maana haijaendelea.

comment zako mtu akizisoma zitaiakichefuchefu kumbe ndio ulivyo
 
Sisi tumeambiwa Mwisho wa uchaguzi mmoja, ndio mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi mwingine basi, sisi ni siasa mpaka CCM tu itakapotoka madarakani
 
Mkuu, umempiga marungu makali sana mkuu ya kaya, lakini hebu tukumbuke, rais wetu si ana mawaziri na washauri wengine? They could show him the way.....

Hata aliwachagua mawaziri ni watu wa pwani wenzake! tabia ile ile hamuoni tofauti ya Magufuli na wenzake
 
Back
Top Bottom