Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Unajua kwenye Technology huwa tunasahau kuwa kinacho save muda sio hasa Teknolojia gani (assuming siyo Perl vs Python debate) bali ni tool ambayo itakuwa na less friction in learning, doing and getting help (Docs, Community help na Libraries)Nilikua najaribu kuwaza hapa kama tuki tumia ma java, kotlin sijui swift ku tengeneza app complex system labda za fintech, health etc halfu huyu flutter tukamtumia kwenye mid and small project hapa hatutakua tume save capital na time mkuu ?@Stefano Mtangoo
Sasa ukichukua Flutter, inabidi ujifunze Dart. Assuming you enjoy learning Dart (I personally didn't like it) bado una huddle ya kuhakikisha inafanya kazi vizuri kwenye both platforms in terms of UI nativity and smooth functionalities. Kwa Flutter bado huwezi ku enjoy Libraries na wide community help.
Pili kuandika code kwa SwiftUI au Jetpack Compose is too easy and quick kiasi kwamba sioni faida ya Flutter. Nadhani watu wanachoogopa ni kujifunza lugha mbili na toolset za aina mbili. But trust me sio ngumu kivile. Na hizi zote ni modern languages so zinafanana sana. SwiftUI na Jetpack Compose/Old Android zote ni MVVM na hizi mbili ni declarative. So kwenye architecture zinafanana mno.
Differences zipo lakini kwa aliye tayari kujifunza ni minute. Hapa nilipo naandika Medium app kwa Jetpack Compose. Nimeanza mchana na sasa namalizia general setup (Dependency Injection, Retrofit stuffs, pamoja na Login UI). Natarajia Kesho by Midnight iwe imeisha.
Ni kwa sababu niko comfortable na Android/Kotlin. Na nina control fully ya namna gani niandike codes. Of course kuna reusable small pieces of code zinasaidia pia.
Short version of it: Kama unaona ni kazi kujifunza multi platform then soma Flutter. Itakufaa. Ila kama unaweza nashauri usome SwiftUI/Swift na Jetpack Compose/Kotlin
Yes, kuna link nimeweka. Inaonesha hata Angular wameizika rasmi.Sijakuelewa mkuu, ya ni Google wa dump flutter??,
Hawa jamaa mostly hufanya project kwa sababu ina support dira yao. Dira ikibadilika kwenye hilo eneo huwa wanajaribu ku handover kama Ellis Lab walivyofanya kwa CodeIgniter. Wakikosa huwa zinazikwa!
Sio wao pekee, ni kampuni zote duniani!