Fluconazole side effects

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Hatari wakuu naomba kujua kwa wenye utalaam wa hii dawa nimeandikiwa doz ya siku 30 ya fluconazole lakini ukiangalia hivi karibuni nimekuwa nikipata mkojo wa rangi ya njano sana unaoambatana na kijani kwa mbali nimeanda hospital kupima mkojo nmeambiwa mkojo wangu msafi je shida nini wakuu ni hizi dawa au nini
 
usisahau ukiona hupati mkojo kunywa beer na maji mengi utakojoa hadi useme basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom