Florida tena imeleta kizazaa kwenye uchaguzi wa senate 2018

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,604
4,359
Kama ule uchaguzi wa raisi mwaka 2000 , jimbo la Florida linaelekea katika hatua ya kurudia kuhesabu kura za uchaguzi wa senate kwa kutumia mikono Baada ya tofauti kuwa ndogo Kati ya mshindi wa awali Rick Scott wa republican na Bill Nelson wa Democrat tofauti ikiwa ya kura 14000 kwenye wapiga kura zaidi ya 8 mil.
Tusubiri tuone je kutakuwa na badiliko?
Rick Scott anawatuhumu wasimamizi wa kura kwa kufanya udanganyifu Yale maeneo yenye wapiga kura wengi wa democrat
Taarifa za sasahivi zinasema Rick Scott ameshinda Kesi inayotaka wasimamizi wa kura waonyeshe taarifa za upigaji kura ambazo walikuwa bado hawajazitoa hadharani bali walikuwa wamezificha.
Rick Scott amepeleka kesi mahakamani kutaka polisi walinde masanduku ya kura na mashine za kipigia kura wakati azitumiki.
Hili tatizo linaweza kuwa la nchi nzima ya marekani, sasa hawawezi kumtupia lawama Mrusi Bali wajilaumu wenyewe
 
bush aliiba kura chaguzi zote mbili,ili wakavuruge mashariki ya kati,nakumbuka hotuba yake baada ya kuapishwa,akitaja axis of evil kuwa ni iraq,libya,syria na korea kaskazini,waliosalimika mpaka leo ni korea kaskazini tu
 
bush aliiba kura chaguzi zote mbili,ili wakavuruge mashariki ya kati,nakumbuka hotuba yake baada ya kuapishwa,akitaja axis of evil kuwa ni iraq,libya,syria na korea kaskazini,waliosalimika mpaka leo ni korea kaskazini tu
Aiseee umeandika nini hapa?
 
Back
Top Bottom