Florian Kaijage alivyonyongwa!!!!

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
KAMATI ya Kuchunguza Kashfa ya Kutopigwa Nyimbo za Taifa katika mchezo kati ya Taifa Stars na Morroco uliofanyika Uwanja wa Taifa, Oktoba 9, mwaka jana ilitoa ripoti yake huku ikimtwisha lawama kwa kiasi kikubwa aliyekuwa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Florian Kaijage. Natarajia kamati hiyohiyo italifanyia kazi swala la umeme kukatika uwanja wa Taifa na kumunyonga mtu kama walivyofanya kwa Kaijage, kama kweli TZ kunahaki, uadilifu, usawa na amani ya kweli!
 
Ebu badili kichwa cha habari kwenye hii thread yako bana! Unajaua maana ya kunyongwa?
 
okay nakubali ni neno kali na poleni kwa hilo heading though "kunyonga" might also means an act of performing difficult action to someone! kuachishwa kazi kwa jinsi ya kaijage ilikuwa ni maamuzi magumu na si rahisi kupima ime-affect vipi maisha yake binafsi ama wanaomtegemea. Mambo mengine si rahisi kuwahisi mpaka yakupate!!
Well jambo/hoja ya msingi hapa nikusubili hatua atakazochukuliwa kwa huyo aliyesababisha wa kukatwa kwa umeme!!! Natarajia hatua sawa na zile zilizochukuwa kwa bwana kaijage zichukuliwe pia kwake.
Hatutakuwa tunatenda haki kama wapo watu kwa jina la WAHESHIMIWA lakini wanaotenda mambo ya aibu kwa taifa, kutuletea mateso, maisha magumu na wasichukuliwe hatua!!
 
Kitanzi kilekile kinabidi kimpitie Wambura, Angetile, Jimmy Kabwe au wote!!
Haiwezekani hela zote wanazotuchuna kwenye viingilio washindwe kuwasha hata Jenereta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom