Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058

Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
 
cb3e3c7145d8f4603f95b60b10f2f6c3.jpg
 
Kama sio mjukuu wa Askofu Kulola vile. Ni aibu sana kwa kweli.Anataka sasa kuishi kama atakavyo,sio kama Mungu atakavyo.Ndio,amefika mbali.She wants to be a "free builder,yes,a Freemason ."
 
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process

Huyu Flora si ndio wa Gwajima?
Kachukuliwa jumla?
 
Back
Top Bottom