masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Kama imenona ntakula tu mkuu , kuharisha ni matokeo tuUchu tu, unaweza kupewa nyamaukashindwa kula,sababu ya nyama.
Kama imenona ntakula tu mkuu , kuharisha ni matokeo tuUchu tu, unaweza kupewa nyamaukashindwa kula,sababu ya nyama.
Hahahahaha mshamba hasaaHivi Mbasha ni msukuma? Nataka nimwongeze kwenye orodha yangu ya wasukuma washamba na malimbukeni
Atakuwa ni msukuma! Maana ndio wanaongoza kwa ushambahuyu jamaa mi huwa namuonaga mshamba mshamba flani hivi,sijui ni msukuma huyu au mpare wa bwiko huko?
Wapare hatuna tabia za kishamba hivi! Atakua anavinasaba vya kisukumaIla huyu jamaa anatuaibisha wapare .. Sana mdomo mrefu sana huyu mwanaume
KabisaSisi wengine bila nyama ilionona kwa kweli mate yetu huwezi kuyaona
Hivi Mbasha ni msukuma? Nataka nimwongeze kwenye orodha yangu ya wasukuma washamba na malimbukeni
nijuavyo Mbasha ni wachagga
Atakuwa ni msukuma! Maana ndio wanaongoza kwa ushamba
Mpongeze basi?Duh aiseee