Flirty Obama

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,792
3,848
article-2234978-16179CDB000005DC-302_634x449.jpg


article-2234752-1617EC82000005DC-851_634x384.jpg


article-2234752-1617B20D000005DC-750_634x522.jpg


article-2234978-16179E4E000005DC-863_634x428.jpg


article-2234752-1617C3DA000005DC-695_634x577.jpg


Boys will be boys......................



article-0-11FACF4A000005DC-580_634x671.jpg


Nani kanuna?
 
Aisee, picha ushahidi mbaya sana. Ila michelle hawezi kuumia coz hata yeye anaflirt nae zaidi. Tatizo la kina wasirra wanaflirt na kina shyrose bhanji afu wakirudi home sura ya kazi.
 
Huyo mchina sijui mkorea ametulia!! .... Halafu yeye ndiyo anamrushia K prezidaa.
 
ze handsome briliant OBAMA atategwa sana................. mpaka amalize muhula wa pili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Huyo Mama alim-mind kweli Obama yaani, Mama mmoja wa MSNBC alizionyesha hizo picha mara kibao siku moja kwenye kipindi chake, Andrea Mitchel alikuwa anacheka sana!.
 
Tabasamu huwa unapata kulingana na mtu uliyo. Mtu rigid & humorless kama Romney asingepata tabasamu za dhati kama hizi alizopata BO
 
alafu huyo mwana dada hapo has on only thing on here mind...ngoja nimnyesgeshe the world's most powerful man....kawaida yao hiyo anakupitishia k kukuringishia. sasa hapa bwana obama itabidi tuu kuonyesha yeye kidume wa kweli amgegede tuu huyo bidada hahaha...na dada analipa tuu mbona
 
Obama kama SAMSON na huyo Madame kama DELILAH.
First lady kanunaaaa huyooo..., lol kweli mtu chake!

Nice photos though.
 
duh na usingizi leo nimekosa ikabidi nitupia macho hapa JF naona madame x kaamua kutuonesha yaliyojili/ri mmmh bi dada kanuna ile mbaya angekuwa na uwezo lazima angelianzisha pande hizo ila nina hakika aliuliza ilikuwaje
 
Last edited by a moderator:
Huyo mchina sijui mkorea ametulia!! .... Halafu yeye ndiyo anamrushia K prezidaa.


Yaani ni mzuri mara 10 shinda mama Obama. Sitoshangaa kama Obama alichapa kidizaini. Tusubirie tu tuone kama tumbo litakua baada ya muda maana kina mama hawanaga siri. Wanafanya vitu gizani baada ya muda tumbo hilo.
 
Back
Top Bottom