Aisee, picha ushahidi mbaya sana. Ila michelle hawezi kuumia coz hata yeye anaflirt nae zaidi. Tatizo la kina wasirra wanaflirt na kina shyrose bhanji afu wakirudi home sura ya kazi.
Huyo Mama alim-mind kweli Obama yaani, Mama mmoja wa MSNBC alizionyesha hizo picha mara kibao siku moja kwenye kipindi chake, Andrea Mitchel alikuwa anacheka sana!.
alafu huyo mwana dada hapo has on only thing on here mind...ngoja nimnyesgeshe the world's most powerful man....kawaida yao hiyo anakupitishia k kukuringishia. sasa hapa bwana obama itabidi tuu kuonyesha yeye kidume wa kweli amgegede tuu huyo bidada hahaha...na dada analipa tuu mbona
duh na usingizi leo nimekosa ikabidi nitupia macho hapa JF naona madame x kaamua kutuonesha yaliyojili/ri mmmh bi dada kanuna ile mbaya angekuwa na uwezo lazima angelianzisha pande hizo ila nina hakika aliuliza ilikuwaje
Yaani ni mzuri mara 10 shinda mama Obama. Sitoshangaa kama Obama alichapa kidizaini. Tusubirie tu tuone kama tumbo litakua baada ya muda maana kina mama hawanaga siri. Wanafanya vitu gizani baada ya muda tumbo hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.