Flaviana Matata Uso Kwa Uso na Jay Z na Mkewe Beyonce It's a dream come true wamarekani wenyewe wanapambana kuwagusa.

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,556
Points
2,000

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,556 2,000
Hivi kukutana na Jay z nayo ni ndoto enh. Watanzania hatukosi vioja a see. Kuna mtu naye kasema ni uzalendo. Hivi kweli mtu kukutana na mtu mashuhuri nako kunakuwa ni uzalendo.
Bado utumwa upo sema upo kwa style nyingine........

Kwake yeye ni mafanikio makubwa,
 

Forum statistics

Threads 1,380,116
Members 525,695
Posts 33,765,340
Top