LED ni muendelezo tu wa technolojia ya tv, ukiongelea smart TV au flat screen tv tulianza na plasma TV, zenyewe ni flat screen lakini screen yake ya glass, ikafata LCD na sasa tupo kwenye LED.Habari za weekend wakuu..
Mi mgeni wa Technologia, naomba mnisaidie tofauti kati ya Smart Tv Flatt Screen na LED Tv, na ipi unge recommend mtu kununua kwa matumiz ya familia
Na huko hatupo tushafika 4kLED ni muendelezo tu wa technolojia ya tv, ukiongelea smart TV au flat screen tv tulianza na plasma TV, zenyewe ni flat screen lakini screen yake ya glass, ikafata LCD na sasa tupo kwenye LED.
Ndo ikoje hyo 4k?Na huko hatupo tushafika 4k
4k ni picture resolution sio teknolojia ya tv.. kwa sasa tuko kwenye LED tunaelekea kwenye OLEDNa huko hatupo tushafika 4k
halafu mtaani wanakosea sana tv ambayo sio smart wanaita led na tv ambayo ni smart ndio wanaita smart tv. ukweli ni kwamba hata smart tv inaweza kuwa led tv sababu led ni technology tu ya kioo haina uhusiano na usmart wa tv.
TV ambazo sio smart (kama unavyoziita led) zenyewe zinafanya kazi bila operating system yoyote ya maana, hazina wifi, hazina youtube etc, hizi zinakuwa ni kama tv za kawaida ambazo tumezizoea kila siku na tumekua nazo.
smart tv zenyewe kama jina lilivyo zipo smart, zinatumia operating system kama web os, tizen, android etc na una uwezo wa kuinstall apps, zina wifi, na mambo mengine mengi.
TV ya kawaida pia unaweza ukaibadili kuwa smart tv kwa kununua HDMI dongle kama amazon fire stick au Roku au Android tv box, au Apple TV etc ukinunua hivyo vifaa na kuchomeka kwenye tv yako itakuwa smart.
zinazokula umeme ni plasma, zinazidi watts 300 kwa saa. siku moja unaweza kata hata unit 6.Wewe jamaa nikitaka kununu TV lazima nikutafute uwe consultant asee, maana ulielezea kuna tv zinakula umeme balaa, nitakutafuta mkuu, ntakulipa 1% ya bei ya TV ya nch 43
zinazokula umeme ni plasma, zinazidi watts 300 kwa saa. siku moja unaweza kata hata unit 6.
TV za LED ndio hazili sana umeme hasa zikionyesha rangi nyeusi.
nipo humu 24/7 ukiwa tayari utaniuliza.Kua cosultant umepiga chini?
Uko njema mkuuhalafu mtaani wanakosea sana tv ambayo sio smart wanaita led na tv ambayo ni smart ndio wanaita smart tv. ukweli ni kwamba hata smart tv inaweza kuwa led tv sababu led ni technology tu ya kioo haina uhusiano na usmart wa tv.
TV ambazo sio smart (kama unavyoziita led) zenyewe zinafanya kazi bila operating system yoyote ya maana, hazina wifi, hazina youtube etc, hizi zinakuwa ni kama tv za kawaida ambazo tumezizoea kila siku na tumekua nazo.
smart tv zenyewe kama jina lilivyo zipo smart, zinatumia operating system kama web os, tizen, android etc na una uwezo wa kuinstall apps, zina wifi, na mambo mengine mengi.
TV ya kawaida pia unaweza ukaibadili kuwa smart tv kwa kununua HDMI dongle kama amazon fire stick au Roku au Android tv box, au Apple TV etc ukinunua hivyo vifaa na kuchomeka kwenye tv yako itakuwa smart.
Asante kqa somo duhzinazokula umeme ni plasma, zinazidi watts 300 kwa saa. siku moja unaweza kata hata unit 6.
TV za LED ndio hazili sana umeme hasa zikionyesha rangi nyeusi.
Leo ndo nimejua tofaut ya smart tv na ledhalafu mtaani wanakosea sana tv ambayo sio smart wanaita led na tv ambayo ni smart ndio wanaita smart tv. ukweli ni kwamba hata smart tv inaweza kuwa led tv sababu led ni technology tu ya kioo haina uhusiano na usmart wa tv.
TV ambazo sio smart (kama unavyoziita led) zenyewe zinafanya kazi bila operating system yoyote ya maana, hazina wifi, hazina youtube etc, hizi zinakuwa ni kama tv za kawaida ambazo tumezizoea kila siku na tumekua nazo.
smart tv zenyewe kama jina lilivyo zipo smart, zinatumia operating system kama web os, tizen, android etc na una uwezo wa kuinstall apps, zina wifi, na mambo mengine mengi.
TV ya kawaida pia unaweza ukaibadili kuwa smart tv kwa kununua HDMI dongle kama amazon fire stick au Roku au Android tv box, au Apple TV etc ukinunua hivyo vifaa na kuchomeka kwenye tv yako itakuwa smart.
Kuna Tv zina king'amuzi cha ndani kwa ndani unakamata stations direct kwa antena ya kawaida bila kin"gamuzi hizi nazo vipi?nipo humu 24/7 ukiwa tayari utaniuliza.
tv yoyote inayokubali DVB-T2, angalia kwenye box au menu ya tv.Kuna Tv zina king'amuzi cha ndani kwa ndani unakamata stations direct kwa antena ya kawaida bila kin"gamuzi hizi nazo vipi?
Asante. Hivyo vifaa bei ngapi!? Na vinafungiwa wapi na upatikanaji wake vipi!? Nina rising led inch 32 .halafu mtaani wanakosea sana tv ambayo sio smart wanaita led na tv ambayo ni smart ndio wanaita smart tv. ukweli ni kwamba hata smart tv inaweza kuwa led tv sababu led ni technology tu ya kioo haina uhusiano na usmart wa tv.
TV ambazo sio smart (kama unavyoziita led) zenyewe zinafanya kazi bila operating system yoyote ya maana, hazina wifi, hazina youtube etc, hizi zinakuwa ni kama tv za kawaida ambazo tumezizoea kila siku na tumekua nazo.
smart tv zenyewe kama jina lilivyo zipo smart, zinatumia operating system kama web os, tizen, android etc na una uwezo wa kuinstall apps, zina wifi, na mambo mengine mengi.
TV ya kawaida pia unaweza ukaibadili kuwa smart tv kwa kununua HDMI dongle kama amazon fire stick au Roku au Android tv box, au Apple TV etc ukinunua hivyo vifaa na kuchomeka kwenye tv yako itakuwa smart.
Mtaani vipo mkuu vya kichina mpaka chini ya laki unapata.Asante. Hivyo vifaa bei ngapi!? Na vinafungiwa wapi na upatikanaji wake vipi!? Nina rising led inch 32 .
DVB-12 ndio nini kakatv yoyote inayokubali DVB-T2, angalia kwenye box au menu ya tv.