Mambo vp wakubwa?
Natumaini wote wazima
nına flash nımeokota sasa nataka kuıformat lakinı ına pın code
kwa wataalamu labda kuna softwıre yeyote naweza kutumia ılı nııformat?
iweke kwenye computer then angalia itakuwa drive gani lets say G au F baada ya hapo go to start>run>typ cmd>press enter
then a command prompt will appear andika format F: then press enter u will be done

ntamtafutaje wakatı hakuna contact zozote za kumpata,na wala cjaıokota leo wala jana ıla ına kama mwaka hvı tangu nııokote sijaşıkıa mtu kuulizia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.