Flash tools or Signed Firmware

napenda movie

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
520
454
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa bahati mbaya wakashindwa kufanikiwa.

Leo tukutane hapa ntatoa tool zenye watumiaji wengi wa simu vile vile kama wewe ni fundi simu wa software kuna kitu umekosa iwe ni firmware tool DAfile NVROM na vingine vingi tukutane hapa tutagawana ujuzi na kwa mhitaji wa tool ama firmawere ata patiwa bure kabisa kwa asilimia 80.

Japo kuna baadhi ikiwa couple ya simu yake ipo kwenye malopo atalipia pia bila shaka kwa wanaofanya hizo kazi watakua wamenielewa tutaanza na flash tool moja maalufu sana kwa simu za SPD inaitwa spd upgrader

spd.jpg
hii tool unaweza dowload kwenye hiyo link hapo chini
Download SPD Upgrade Tool (all versions)
lakini kwa simu za MTK mala nyingi watu hutumia nck clack na zingine lakini mimi hua napendelea sana kutumia miracle thunder
thunder.jpg

Ukihitaji utaomba link lakini nyingine nzuri zaidi hua tunatumia MRTdongle nimeelezea kwa uchache ili kama kuna mtu anashida yeyote inayohusina na software kwenye simu yake awasilishe na tatizo tutalichangamkia soon atapata ufumbuzi kumbuka ni kwa simu zilizokwisha kuzima kabisa ama zikiwaka hazimalizi na zingine zenye shida ndogo ndogo kama pass na FRP

NAWASILISHA
 
uzi mzuri sana huu lakini cha ajabu utakosa wachangiaji,na hii ndio sababu waafrika tutabaki kuwa soko la wachina na wazungu,mm sijui kila kitu kwenye haya mambo ya ufundi lkn napendelea kujifunza

wataalam leteni vitu

Kwanza: Unatakiwa uijue simu yako ni chip aina gani?
Pili: Ujue chanzo ya tatizo lake ni lipi?
Tatu: Utaweza kutumia tools gani kuifanyia kazi.
Nne: Firmware(File) sahihi la simu yako
 
samahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?
Chip ni hardware inayokusanya pamoja cpu ,gpu na zaga nyingine kama sijakosea naruhusu kusahihishwa................sasa hizi zinakuaga za aina tofauti kuna qualcom,mtk,exynos na nyingine....unatakiwa ujue sasa simu yako inatumua chip ya kampuni gani na pia ni toleo gani
 
samahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?

Kuna ANDROID ambazo zina chip ya MEDIATEK(MTK)
Kama TECNO, INFINIX, ITEL n.k
Pia kuna chip ambazo ni (Qualcomm)
Mfano kama, Samsung, pia Infinix, Tecno zipo ambazo ni (QC)
Pia kuna chip SPD, nazo zipo ITEL na zingine kama Tecno CLONE

najua hapa huelewei kitu maana haya mambo yanahitaji uzoefu sana.
 
Uko sahihi mzee, una uelewa kidogo na hizi mambo. Safi
 
Kuna ANDROID ambazo zina chip ya MEDIATEK(MTK)
Kama TECNO, INFINIX, ITEL n.k
Pia kuna chip ambazo ni (Qualcomm)
Mfano kama, Samsung, pia Infinix, Tecno zipo ambazo ni (QC)
Pia kuna chip SPD, nazo zipo ITEL na zingine kama Tecno CLONE

najua hapa huelewei kitu maana haya mambo yanahitaji uzoefu sana.
nikitaka kujua sasa natakiwa niende setting kisha wapi???
(tusichokane jamani)
 
Hizo simu za kutumia crack naona umezungumzia zile za miaka ile ya 2017, ila kwa sasa usipokuwa na activated tools kuna baadhi ya simu utaziangalia tu. Au zitaishia ku brink tu.
hapana ukiwa hauna box mwenye nalo anaweza kukuremoty na kazi ikafanyika chap kinachohitajika kwa sasa ni kua na pc bando lako tu na makubaliano ya bei kwa mhusika mwenye box na hua ni chip sana na kazi inaweza chukua dakika 15 hadi 30 kulingana na simu husika hivyo uwezekano upo tena mkubwa lakini kuna clack zenye nguvu kama vile miracle thunder 3.5 jalibu kuitafuta
 
uzi mzuri sana huu lakini cha ajabu utakosa wachangiaji,na hii ndio sababu waafrika tutabaki kuwa soko la wachina na wazungu,mm sijui kila kitu kwenye haya mambo ya ufundi lkn napendelea kujifunza

wataalam leteni vitu
unakaribishwa ikiwa umepata shida kwa simu yeyote ile wasilisha na kwa pamoja tutapa sukuhu hapa hapa
 
samahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?
chip hua zinaitwa EMMC hiyo ndo hubeba bootable ya simu yako kwenye computer tunaweza sema ni hard disk yenye partition iliyobeba window kwa hivyo ukikuta simu inawaka na kuganda au kutokuwa kabisa ama ina lock na vitu vingine kinachokua kimelokia ama kuharibika na kusababisha matatizo hua ni hiyo chip kwa hivyo tunapoflash hua tunafanya malekebisho kwenye hizo chip kwa kifupi
 
hapana ukiwa hauna box mwenye nalo anaweza kukuremoty na kazi ikafanyika chap kinachohitajika kwa sasa ni kua na pc bando lako tu na makubaliano ya bei kwa mhusika mwenye box na hua ni chip sana na kazi inaweza chukua dakika 15 hadi 30 kulingana na simu husika hivyo uwezekano upo tena mkubwa lakini kuna clack zenye nguvu kama vile miracle thunder 3.5 jalibu kuitafuta

Sasa hivi bei ni juu mno, ukikutana na samsung yenye frp latest security utaimba pambio kama zote na kwa remoty server wanataka 15$
 
Sasa hivi bei ni juu mno, ukikutana na samsung yenye frp latest security utaimba pambio kama zote na kwa remoty server wanataka 15$
kwa sisi tanzania kuna watanzania wanafanya hizo kazi tena nipo nao kukufanyia remoty ya kutoa lock ama frp inaenda kwa bei ya kitanzania kabisa tena chap tu na mnafanya kazi mkiwa mnachat kiswahili yaani chap tu kama unayo sema nikuunganisha tupige kazi chap kwa simu inayoleta shida kwa sasa ni OPPO peke yake zingine mtelemko tu aaan
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom