Fj tufanyeje tuwashawishi vyma kuweka mgombea mmoja siku zijazo kama mtu wetu atashin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fj tufanyeje tuwashawishi vyma kuweka mgombea mmoja siku zijazo kama mtu wetu atashin

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chamkoroma, Oct 1, 2010.

 1. C

  Chamkoroma Senior Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu hakuna asiyejuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa mtaji huu hata ukiangalia votes katika blog hii kama kungukwa ni mpambano wa viongozi wawili nadhani Doctor anekuwa kama na asilimia 80 na ushee, na ngepigiwa chapua kila kona na vyama vyote na ukombozi ungekuwa unauhakika saan ingawa hata ss kuna uakika, who will be liable to put the bell on the Cat's net so as the Democratic na Reubican tobe in our country?
  Si ajabu kuona Mbatia anatoa pumba badala ya unga kwa watu wenyekupenda maendeleo ya nchi si ajabu kusikia yule yule aliyechukua kura yangu 1995 kuwa anampigia chapuo mgombea alikotoka sijui tutafanyaje ilikuwepo na wenye kuipenda nchi kwa moyo wote nakuaacha wenyekuenda kuendesha magari makubwa kwa ghalama ya maskini wa tz, hakuna madawa dispensary ya sikali wakati pesa zinanunua mafuta na chai ya wenye sirikali.lkn kila jambo lina mwisho wake.
   
Loading...