Kuna proffessor mmoja Mtanzania mahili sana katika nyanja hii,yeye baada ya kumaliza engineering hapo UDSM alifanya kazi kidogo hapa na kisha kuhamia Marekani,ni proffesor wa kutegemewa sana katika nyanja ya usafirishaji,anaitwa DEOGRATIAS EUSTACE,uki google utaona kazi zake kadhaa kuhusiana na mada hii.Yeye ni Associate Proffesor University of Daytoon na ni director wa Transport engineering Labaratory.Anategemewa sana US. Baadhi ya kazi zake ni-
- The role of driver age and gender in motor vehicle fatal crashes
-Simplified method for analysing factors contributing to motorcyclist fata injuries
-Relationship between vehicle colour and Safety etc.
Uki-google utagundua ni jinsi gani huyu proffesor wa Kitanzania,kijana mdogo tu anavyotumiwa hadi na jeshi la marekani kutoa mafunzo mbalimbali juu ya ajali na kinga.Swali je NIT,SUMATRA,POLICE nk wanafahamu uwepo wa mtu huyu mahili anayesaidia kupunguza ajali nchi za wenzetu lakini huku hatumtumii?je hawezi kutumiwa kuandaa mitaala ya NIT na vyuo vingine vya hapa?je hatuwezi kumuomba akaja kutoa lecture au mafunzo maalumu police,SUMATRA etc.Nitawasiliana naye nimuulize anakwenda lini likizo Bukoba ili kama atakubali niuze mawazo haya kwake.