Fixed na frexible grade

Bampcm

Member
Feb 26, 2013
43
4
Iv kunatofaut gan kat ya frexible grade na fixed grade kwa sababu walikuwa wanazizungumzia bungen nikashndwa kuelewa znatumikaje. Na je ni zp zlizotumika kusahihisha mitihan yetu ya form 4 na 6
 
Kwa Mujibu wa Waziri Kawambwa na Lukuvi wakati wa hitimisho la Bunge kupitisha makadirio ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi, Mtihani wa K4 na K6 matokeo yake yametumia mfumo wa fixed grade ranges. Awali Lukuvi alitangaza kuwa matokeo yaliyofutwa yalikuwa kwenye fixed grade range lakini BARAZA LILIAGIZWA KUTUMIA MFUMO WA FLEXIBLE GRADE RANGES ULIOKUWA UNATUMIKA MIAKA ILIYOPITA. HATA HIVYOALIDAI KUWA SERIKALI ILIONA IKITUMIA MFUMO HUO UNGELETA MADHARA INGAWA HAKUFAFANUA NI MADHARA YAPI. HIVYO BARAZA LILIAGIZWA LITUMIE MFUMO ULE ULE ULIOTUMIKA KABLA YA KUFUTA MATOKEO ILA WAFANYE STANDARDISATION

TOFAUTI YA MIFUMO HIYO MIWILI NI KUWA KATIKA FLEXIBLE GRADE RANGES BARAZA LILIKUWA LINAWEKA VIWANGO VYA UFAULU KWA SOMO KULINGANA NA PERFORMANCE HALISI KWA KILA SOMO KWA MWAKA HUSIKA. HIVYO, D YA CIVICS ILIKUWA INAWEZA KUWA TOFAUTI NA D YA MAHEMATICS.
KATIKA FIXED GRADE RANGES MASOMO YOTE YANAKUWA NA VIWANGO VINAVYOFANANA VYA UFAULU. KWA MFANO, KWA CSEE VIWANGO VILIVYOTUMIKA NI KAMA IFUATAVYO
F 0-34, D 35-49, C 50-64, B 65-79, na A 80-100.

Naomba kufahamu namna standardisation ilivyofanyika hapo ndiyo bado sifahamu nini hasa kilitokeo. Mwenye kufahamu atumwagie hapa jamvini please Wakuu
 
Mkuu bigup kwa ufafanuzi murua.
 
asante sana kwa maelezo yako mkuu. Cja swali la kuuliza juu ya maelezo yako. Kuhusu standerdisatio cna ujuz juu ya swala ilo labda kama kuna mwenye taarifa nalo atujuze lkn pia iv kilichofanywa na balaza ni standerdisatio au kutumia frexble grades badala ya fixed grade zlizotumika mara ya kwanza?
 
Back
Top Bottom