FIXED MATCH PREDICTIONS

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Wazee wa kuweka mkeka hivi hawa jamaa jamaa wanaotoa fixed results za kwenye matches wana ukweli wowote maana sikuiz naona wamejaa kila kona. Embu tupeane uzoefu wasiwe wanawapiga watu kizembe asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom