jaribu first national bank..google them to find mo details
yah check na FNB BANK
Nimedunduliza na kufanikiwa kuwa na shilingi milioni ishirini (20,000,000/=), kwa kuwa sina mpango wa kufanya biashara sasa kwani inahitaji mipango na usimamizi wa karibu na mie bado nimeajiriwa ninafikiria kuweka hela zangu kwenye fixed deposit account ya benki yoyote nzuri.
Ningependa kujua kwa wenye uzoefu, ni benki gani yenye rate nzuri ya fixed deposit. Ningetamani niwe naziweka kwa miezi mitatu mitatu (3 months fixed deposit). Je kwa hiyo mil 20,000,000/= faida baada ya miezi mitatu inaweza kuwa sh. ngapi? Ninafikiria miezi mitatu kwani nataka kuona kama inaweza kunipa angalau hata kiasi cha kusaidia kulipa ada ya watoto hiyo baada ya miezi mitatu.
Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
Aisee hawa jamaa rates zao zinatisha isije ikawa kama Meridian Biao Bank. Rates zao ni kubwa sana na nafikiri hakuna bank inayotoa interest kubwa kama hawa jamaa. Yaani hata savings akaunti unapata mpaka 9%? Au wanavutia wateja wakishapata wengi wanazipunguza kama Exim walivyofanya. Walikuja na interest rates nzuri lakini baada ya kuwa na utitiri wa wateja wamezipunguza.
Kwa mwanzisha mada kwa mil. 20 unapata 8.5 % interest kwa miezi 3 (Fixed account). Kwa hiyo mwisho wa miezi mitatu unaondoka na mil 1.7 ambayo kama ni ada za watoto tu nafikiri inatosha sana vinginevyo wawe wengi.

Kwenye hesabu zako upo sahihi kabisa! Tena kinachouma zaidi ni hiyo 10% Withholding tax wanayoikataNdg yangu Mashauri angalia sana unaweza poteza ifuatayo ndio hesabu ya fix deposit;
20,000,000 x 8.5% = 1,700,000 X 3 months = 425,000 - 10% tax = Tsh 382,500 hizi ndio faida utakayopokea tu.
12 months
OR
20,000,000 x 8.5 x 3 = 425,000 - 10% = 382,500.
100 x 12
Kwenye hesabu zako upo sahihi kabisa! Tena kinachouma zaidi ni hiyo 10% Withholding tax wanayoikata
Ndugu yangu nakushauri ufungue akaunti ya usd. Ukiwa na dola 10,000 kila inavyopanda kwa sh 10 tu wewe una laki. Najua kuna kushuka pia, lakini in the long run huwa inapanda. Interest rate iliyo chini ya inflation rate maana yake unapunjika. Wenye shule kamili watakuja kuweka kwa umakini zaidi.
Halafu interest rate wanayotoa ni kwa mwaka, kwa hiyo kumbuka kuigawanya kwa miezi unayotaka kuweka hela yako na utoe withholding tax.
Mbona mkuu unapromote sana foreign bank? Inabidi utoe reference kwa local banks zetu!Withholding Tax inaenda serikalini kwahiyo hapo FNB or any other bank hawapaswi kulaumiwa.
Wandugu nashukuruni sana kwa msaada wenu, angalau nimepata mwanga japo mpendwa mmoja alikuwa amenishitua na angenifanya kesho kesho nikaenda benki. Kama kwa mil 20,000,000/= ningeweza kupata hiyo mil 1.7 baada ya miezi mitatu then hiyo ndo biashara pekee ningefanya lakini naamini alipitiwa.
Naona asilimia wanazotoa ni ndogo sana ukilinganisha na riba wanazotoza kwa watu wanaochukua mikopo kwao. Nafikiri benki kuu inapaswa kuangalia hili angalau viwango vya riba visitofautiane saana kati ya fixed deposits rates wanazotoa na interest rates kwa mikopo wanayotoa.
sasa hivi zimepoteza mvuto sababu wanazigawa kama njugu. sasa wewe kama unasubili azipendishe zako na zake matokeo ndo hayo. yeye kwa sababu hajaandaliwa kajiandaa na wewe ni jukumu lako kujiandaa. yaani inakuwa kama punyeto tu unalala coz wanawake wengine mzigo. mapenzi ni kuandaana sio kuandaliwa. mwingine inafika wakati mwafaka ananuna hata kuongea hataki. haya niloongea ni heading tu.
Kwenye hesabu zako upo sahihi kabisa! Tena kinachouma zaidi ni hiyo 10% Withholding tax wanayoikata